M Mbishi 4 real JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 640 Reaction score 655 Apr 18, 2014 #1 Habari zenu wadau, Kama kuna yeyote mwenye taarifa ya ajira za magereza lini zitatangazwa tunaomba atujuze mana tulisikia kwamba mwezi huu watatoa lakini mpaka sasa kimya na mwezi ndio huoooo unayoyoma. Karibuni
Habari zenu wadau, Kama kuna yeyote mwenye taarifa ya ajira za magereza lini zitatangazwa tunaomba atujuze mana tulisikia kwamba mwezi huu watatoa lakini mpaka sasa kimya na mwezi ndio huoooo unayoyoma. Karibuni
snowbaby Member Joined Dec 29, 2013 Posts 8 Reaction score 0 Apr 18, 2014 #2 Watu wanaendelea na usaili. Degree holders tayari now wanawafanyia wa form four i think
Ogo Senior Member Joined Aug 26, 2013 Posts 132 Reaction score 44 Apr 18, 2014 #3 Kuwa na subra kaka...mwaka jana walitoa matangazo yao mwez wa5 labda na mwezi huu inaweza kuwa vivyo hivyo mzee.
Kuwa na subra kaka...mwaka jana walitoa matangazo yao mwez wa5 labda na mwezi huu inaweza kuwa vivyo hivyo mzee.
M Mbishi 4 real JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 640 Reaction score 655 Apr 18, 2014 Thread starter #4 Baharis said: Kuwa na subra kaka...mwaka jana walitoa matangazo yao mwez wa5 labda na mwezi huu inaweza kuwa vivyo hivyo mzee. Click to expand... Sawa mdau ngoja tuvute subra
Baharis said: Kuwa na subra kaka...mwaka jana walitoa matangazo yao mwez wa5 labda na mwezi huu inaweza kuwa vivyo hivyo mzee. Click to expand... Sawa mdau ngoja tuvute subra
M Mbishi 4 real JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 640 Reaction score 655 Apr 18, 2014 Thread starter #5 snowbaby said: Watu wanaendelea na usaili. Degree holders tayari now wanawafanyia wa form four i think Click to expand... This is a joke
snowbaby said: Watu wanaendelea na usaili. Degree holders tayari now wanawafanyia wa form four i think Click to expand... This is a joke
Stevery2 JF-Expert Member Joined Mar 3, 2012 Posts 396 Reaction score 47 Apr 18, 2014 #6 Mbishi 4 real said: This is a joke Click to expand... realy it's a joke
C charles.ludovick Member Joined Dec 26, 2012 Posts 63 Reaction score 9 Apr 19, 2014 #7 Mbishi 4 real said: This is a joke Click to expand... acha kuwapa wenzako stress,wadau zikitangazwa mtasikia tu,cha msingi ni kuwa karibu na vyombo vya habari pamoja na mitandao ya kijamii.
Mbishi 4 real said: This is a joke Click to expand... acha kuwapa wenzako stress,wadau zikitangazwa mtasikia tu,cha msingi ni kuwa karibu na vyombo vya habari pamoja na mitandao ya kijamii.
M Mbishi 4 real JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 640 Reaction score 655 Apr 19, 2014 Thread starter #8 charles.ludovick said: acha kuwapa wenzako stress,wadau zikitangazwa mtasikia tu,cha msingi ni kuwa karibu na vyombo vya habari pamoja na mitandao ya kijamii. Click to expand... Kwaiyo jamii forums kwako sio mtandao wa kijamii ?
charles.ludovick said: acha kuwapa wenzako stress,wadau zikitangazwa mtasikia tu,cha msingi ni kuwa karibu na vyombo vya habari pamoja na mitandao ya kijamii. Click to expand... Kwaiyo jamii forums kwako sio mtandao wa kijamii ?