K KIEMBE Senior Member Joined Aug 29, 2013 Posts 109 Reaction score 11 Aug 12, 2014 #1 Jamani mwenye taarifa za magereza atupashe maana uhamiaji walishatupiga chini nahatuelewi hatma yetu, zimamoto wakatuzima sasa magereza vipi naninyi hamtutaki???????????????
Jamani mwenye taarifa za magereza atupashe maana uhamiaji walishatupiga chini nahatuelewi hatma yetu, zimamoto wakatuzima sasa magereza vipi naninyi hamtutaki???????????????
mikagati JF-Expert Member Joined Apr 3, 2014 Posts 320 Reaction score 71 Aug 12, 2014 #2 Ha, ha, magereza walijichanganya inasemekana walikuwa hawajapeleka kibali cha ruhusa ya kuajil hazina
Ha, ha, magereza walijichanganya inasemekana walikuwa hawajapeleka kibali cha ruhusa ya kuajil hazina
MinMash JF-Expert Member Joined Jun 28, 2012 Posts 373 Reaction score 161 Aug 12, 2014 #3 magereza mwaka huu hawaajiri!!! vyuo vyao vinatumiwa na Zimamoto kwa sasa,mpaka mwakani
F FAIRATTORNEY JF-Expert Member Joined Nov 24, 2013 Posts 219 Reaction score 61 Aug 14, 2014 #4 Nao wana ule mchezo mchafu wa kuchukua JKT