T THE MI6 INSIYDER Member Joined Oct 2, 2014 Posts 42 Reaction score 4 Nov 22, 2014 #1 Magereza wataanza koz lini jama ?je graduates walishapata majibu ya usail wa magereza
B bado nipo JF-Expert Member Joined Jul 24, 2014 Posts 303 Reaction score 43 Nov 22, 2014 #2 Bado mkubwa tuliza boli
T THE MI6 INSIYDER Member Joined Oct 2, 2014 Posts 42 Reaction score 4 Nov 22, 2014 Thread starter #3 we n graduate au njibu mdau
N nakusaka Senior Member Joined Aug 31, 2014 Posts 124 Reaction score 50 Nov 22, 2014 #4 Bado sana,vuta subra?kijana!
WABALLA Inc JF-Expert Member Joined Sep 2, 2014 Posts 2,711 Reaction score 1,018 Nov 22, 2014 #5 loading..... Please wait.
F FAIRATTORNEY JF-Expert Member Joined Nov 24, 2013 Posts 219 Reaction score 61 Nov 22, 2014 #6 Vitu visivyo na ratiba hivyo kaazi kweli.
Ibravo JF-Expert Member Joined Jan 15, 2014 Posts 539 Reaction score 202 Nov 22, 2014 #7 Nimeskia wamefikia hatua ya uchakachuaji.
mkwawa gabriel Senior Member Joined Apr 7, 2012 Posts 100 Reaction score 23 Nov 22, 2014 #8 Ibravo said: Nimeskia wamefikia hatua ya uchakachuaji. Click to expand... kashfa zngne sio jaman,we watachakachua vp?wakati hata majina ya usaili bado?au ukiitwa kwnye usail ndo unakua ushapata kazi?dah 2badilikeni 2ache kashfa zingne sio kabisaa nikwamba chamsingi kinachotakiwa ni 2vutesubira den 2mwombe Mungu 2fanikiwe
Ibravo said: Nimeskia wamefikia hatua ya uchakachuaji. Click to expand... kashfa zngne sio jaman,we watachakachua vp?wakati hata majina ya usaili bado?au ukiitwa kwnye usail ndo unakua ushapata kazi?dah 2badilikeni 2ache kashfa zingne sio kabisaa nikwamba chamsingi kinachotakiwa ni 2vutesubira den 2mwombe Mungu 2fanikiwe
F FAIRATTORNEY JF-Expert Member Joined Nov 24, 2013 Posts 219 Reaction score 61 Nov 22, 2014 #9 mkwawa gabriel said: kashfa zngne sio jaman,we watachakachua vp?wakati hata majina ya usaili bado?au ukiitwa kwnye usail ndo unakua ushapata kazi?dah 2badilikeni 2ache kashfa zingne sio kabisaa nikwamba chamsingi kinachotakiwa ni 2vutesubira den 2mwombe Mungu 2fanikiwe Click to expand... Hakuna ulemavu mbaya kama wa fikra, wala sio kosa lake huyo jamaa. Anaandamwa na ndoto mbaya mchana na usiku.
mkwawa gabriel said: kashfa zngne sio jaman,we watachakachua vp?wakati hata majina ya usaili bado?au ukiitwa kwnye usail ndo unakua ushapata kazi?dah 2badilikeni 2ache kashfa zingne sio kabisaa nikwamba chamsingi kinachotakiwa ni 2vutesubira den 2mwombe Mungu 2fanikiwe Click to expand... Hakuna ulemavu mbaya kama wa fikra, wala sio kosa lake huyo jamaa. Anaandamwa na ndoto mbaya mchana na usiku.
mkwawa gabriel Senior Member Joined Apr 7, 2012 Posts 100 Reaction score 23 Nov 23, 2014 #10 FAIRATTORNEY said: Hakuna ulemavu mbaya kama wa fikra, wala sio kosa lake huyo jamaa. Anaandamwa na ndoto mbaya mchana na usiku. Click to expand... hahahaa,dah xo am i hvng a wet dreams thnx keep on wrong way ov belvng den lol loading...................!
FAIRATTORNEY said: Hakuna ulemavu mbaya kama wa fikra, wala sio kosa lake huyo jamaa. Anaandamwa na ndoto mbaya mchana na usiku. Click to expand... hahahaa,dah xo am i hvng a wet dreams thnx keep on wrong way ov belvng den lol loading...................!
D Dusko Tadic Senior Member Joined Nov 22, 2014 Posts 171 Reaction score 96 Nov 23, 2014 #11 mkwawa gabriel said: hahahaa,dah xo am i hvng a wet dreams thnx keep on wrong way ov belvng den lol loading...................! Click to expand... Hamna bwana mkuu hamaanishi wewe kwa nlivomuelewa anamaanisha huyo hapo juu alosema imefika hatua ya uchakachuzi
mkwawa gabriel said: hahahaa,dah xo am i hvng a wet dreams thnx keep on wrong way ov belvng den lol loading...................! Click to expand... Hamna bwana mkuu hamaanishi wewe kwa nlivomuelewa anamaanisha huyo hapo juu alosema imefika hatua ya uchakachuzi
Ibravo JF-Expert Member Joined Jan 15, 2014 Posts 539 Reaction score 202 Nov 23, 2014 #12 FAIRATTORNEY said: Hakuna ulemavu mbaya kama wa fikra, wala sio kosa lake huyo jamaa. Anaandamwa na ndoto mbaya mchana na usiku. Click to expand... Sio ulemavu wa fikra na kuandamwa na ndoto mbaya za mchana pekee bali hata ubongo wangu umeparalyse tangu udogoni.
FAIRATTORNEY said: Hakuna ulemavu mbaya kama wa fikra, wala sio kosa lake huyo jamaa. Anaandamwa na ndoto mbaya mchana na usiku. Click to expand... Sio ulemavu wa fikra na kuandamwa na ndoto mbaya za mchana pekee bali hata ubongo wangu umeparalyse tangu udogoni.