Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,772
- 35,771
nilikua nasoma documentation yake naona kidogo wanajitahidi!! je unawezaje ku integrate na mpesa au airtel money?Tovuti yangu ina miaka miwili na Walau Sales nazipata hata 11 kwa siku na nyingi zinatoka Kenya kuliko Tz.Nadhan Consider WooCommerce kwa Security..kuna Addon ya tempoSSL ambayo inatoa Security wakati wa Checkout
Vipi kwa tigo pesa? nadhan wana API iko public available...Natumia GoogieHost(www.googiehost.com) Ku intergrate Mpesa/Airtel money to the extent kwamba payment ziwe Atomatic hiyo bado ni ngumu kwa kuwa bado Vodacom na Airtel hawajatoa API.Ila ipo Add-on unaweza kuitumia kupokea malipo na ukaya Confirm Manually
Unaweza share hapa link ya tovuti yako ?Tovuti yangu ina miaka miwili na Walau Sales nazipata hata 11 kwa siku na nyingi zinatoka Kenya kuliko Tz.Nadhan Consider WooCommerce kwa Security..kuna Addon ya tempoSSL ambayo inatoa Security wakati wa Checkout
Nashukuru sana mkuuIdownload hapo RuneStenstroem/woocommerce_mobile_payment na API ya TigoPea iko Public kwenye tovuti yao...Ila niwachache wanao nunua mtandaoni kupitia Tigopesa
mkuu sina uzoefu sana kwenye hizi platform, nimewahi tumia woocommerce ila kama kujaribu tu, sijawahi fanya kitu chochote serious.
To be honest, magento was my first option hasa kutokana na security na scalability yake!!mkuu sina uzoefu sana kwenye hizi platform, nimewahi tumia woocommerce ila kama kujaribu tu, sijawahi fanya kitu chochote serious.
kama unataka kutengeneza site kubwa ni bora utumie magento sababu yenyewe from scratch imetengenezwa kwa ajili hio. wordpress ni nzuri na plugins nyingi ila tunajua plugins zake zinavyoweza sababisha security risk kubwa.
nimegoogle hapa kuna hii plugin unaweza kuicheki, ina mwaka lakini toka ipate updates
Direct Pay Online Plugin
hapa kukesha kunausika maana malipo kuakiki manual si mchezo . mbona KIKUU wana API ya voda na tigo?Natumia GoogieHost(www.googiehost.com) Ku intergrate Mpesa/Airtel money to the extent kwamba payment ziwe Atomatic hiyo bado ni ngumu kwa kuwa bado Vodacom na Airtel hawajatoa API.Ila ipo Add-on(RuneStenstroem/woocommerce_mobile_payment) unaweza kuitumia kupokea malipo na ukaya Confirm Manually
Alafu mkuu kama utakua na ujuzi... Je ni vyema nikasajili website yangu kwa "co.tz" au nitumie ".com" kawaida? Sheria zinasemaje kwa hili.. Hasa kwa makampuni ya ndani...mkuu sina uzoefu sana kwenye hizi platform, nimewahi tumia woocommerce ila kama kujaribu tu, sijawahi fanya kitu chochote serious.
kama unataka kutengeneza site kubwa ni bora utumie magento sababu yenyewe from scratch imetengenezwa kwa ajili hio. wordpress ni nzuri na plugins nyingi ila tunajua plugins zake zinavyoweza sababisha security risk kubwa.
nimegoogle hapa kuna hii plugin unaweza kuicheki, ina mwaka lakini toka ipate updates
Direct Pay Online Plugin
kama unaweza ku afford domain mbili sio mbaya. ila mimi binafsi .co.tz imenikalia kushoto sana, na watu wengi duniani wanajua .com, mtu unaweza mtajia website mfano.co.tz akifika nyumbani asahau aandike mfano.com. kama unapata domain nzuri ya .com chukua hio.Alafu mkuu kama utakua na ujuzi... Je ni vyema nikasajili website yangu kwa "co.tz" au nitumie ".com" kawaida? Sheria zinasemaje kwa hili.. Hasa kwa makampuni ya ndani...
NB: nataka in the future ifanye kazi hata nje sio bongo pekee!!
Nimekupata sana mkuu wangu, hofu yangu nisije kusumbuliwa kama JF walivyosumbuliwa kuhusu ".com" !!kama unaweza ku afford domain mbili sio mbaya. ila mimi binafsi .co.tz imenikalia kushoto sana, na watu wengi duniani wanajua .com, mtu unaweza mtajia website mfano.co.tz akifika nyumbani asahau aandike mfano.com. kama unapata domain nzuri ya .com chukua hio.
tumia domain mbili au zaidi. google ana domain kila nchi, nikiwa hapa Tanzania naamua nitumie google.co.tz au google.com ni uamuzi. ukiwa na ya .co.tz itabypass hio sheria na .com itatumika kimataifa na wanaotaka.Nimekupata sana mkuu wangu, hofu yangu nisije kusumbuliwa kama JF walivyosumbuliwa kuhusu ".com" !!
Thank you mkuu, nitalifanyia kazi kiongozi!!tumia domain mbili au zaidi. google ana domain kila nchi, nikiwa hapa Tanzania naamua nitumie google.co.tz au google.com ni uamuzi. ukiwa na ya .co.tz itabypass hio sheria na .com itatumika kimataifa na wanaotaka.