Lakini hii misifa kwa Yanga wahusika wajitathmini! Mafanikio ya timu ni kwenye soka la uwajani na sio mayowe na mapambio, Sasa Yanga kwenye mechi muhimu kama ya jana wamepokea kipigo, hapa mawasifu kwa lipi!?