Reference to Dira newspaper. Magazeti mengi siku hizi yamekaa kibiashara zaidi..Kiasi kwamba hata ule mvuto wa watu kusoma magezeti unapungua sana..just imagine unanunua gazeti leo umesoma habari iliyopo na kuanza kuwaza na kuanalyse then kesho yake front line unakuta kichwa cha habari wanomba msamaha kwa habari ya jana yake
CC: Alex Msama na wenzake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.