Wanajamii, mtakumbuka ni magazeti haya yalioaminisha watanzania wengi na kuiweka serikali ya awamu ya nne madarakani, sasa ni serikali hiyo hiyo inayoyatokomeza gizani magazeti yaliyoiweka madarakani. Nani asiyekumbuka kazi ya magazeti chini ya uratibu wa Salva Rweyemamu yalivyoibeba serikali ya awamu ya nne kweli uchanguzi wa 2005? Acha wafu wazikane! Tafakari!