Magauni ya harusi kwa bei nafuu karibuni sana

Edinam

Member
Aug 13, 2017
97
38
EDADE SERVICE'S inakuletea huduma za bei nafuu
Ninakodisha magauni ya harusi kwa bei chee 150,000/-. Za kuuza pia zipo kuanzia 250,000/- Karibu ujionee mwenyewe.

Ninatoa pia huduma za mapambo kwenye sherehe zote za duniani.Bei ni kuanzia 300,000/- na huduma ya chakula (catering) kuanzia MENU ya shilingi 6,000/-Pia huduma ya keki, kuanzia keki ya ngazi nne ni 150,000/- na kuendelea.

Natoa pia huduma za MC na mziki kuanzia shilingi 350,000/- Picha na video pamoja na projector moja kuanzia shilingi 500,000/- Napatikana Dar esalaam Ukonga na Pugu.
Mawasiliano:- 0742221698/0717441943
Karibuni sana kwa huduma bora kabisa
 

Attachments

  • IMG-20171114-WA0005.jpg
    58.5 KB · Views: 1,084
  • IMG-20171114-WA0000.jpg
    38.9 KB · Views: 999
  • IMG-20171114-WA0003.jpg
    34.2 KB · Views: 886
  • IMG-20171114-WA0004.jpg
    82 KB · Views: 711
  • IMG-20171114-WA0008.jpg
    44.5 KB · Views: 645
  • IMG-20171114-WA0010.jpg
    34.6 KB · Views: 597
Hizo gauni zimetulia mkuu. Tatizo sasa hawa wachumba zetu wa dot com akisikia gauni la lak 3 atakataa
 
QUOTE="ukhuty, post: 24437774, member: 392029"]kazi nzur[/QUOTE]
Asante
 
Bei imepungua zaidi (Offer ya Kwaresma). Karibuni sana kwa huduma nzuri ya uhakika na ya kuvutia.
 
Bei imepungua zaidi (Offer ya Kwaresma). Karibuni sana kwa huduma nzuri ya uhakika na ya kuvutia.

Karibuni kwa huduma. Mzigo mwingine wa mashela mazuri sana umeingia kwa kukodisha na kuuza. Karibuni sana bei yetu ni ndogo mno.Hatushindwani na mtu wa hali yoyote ile.
 
Karibuni sana.
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…