Nahitaji Gharama ya kuagiza gari aina ya Honda HR-V ya mwaka 2003,Trans Aut,Grade 4.0,RHD,Engine CC 1500-1600,AC,Music System,FM radio etc. Naomba gharama ya Bandari ya DSM tu. CIF Dar. my Contact # 0754 364363
Swift CIF $ 2800. Jumla ya gharama yote (CIF + kutoa Bandarini) kadiri ya TZs 7,500,000/= gari iko nyumbani kwako ila Bima na service ya kwanza hujanya. PM me.