magari

magari

gratiankaribara

New Member
Joined
Jun 12, 2012
Posts
2
Reaction score
0
Nina fursa kupata magari ya kila aina kutoka Uingereza kwa Ndg yangu anaeishi huko lakini sina soko(used)
 
Mkuu binafsi nahitaji swift au Vitz nitapapata kwa bei gani mpaka naimiliki.
 
Kama uko umedhamiria unipigiye kwa 0758103333 tuzungumze

Nahitaji Gharama ya kuagiza gari aina ya Honda HR-V ya mwaka 2003,Trans Aut,Grade 4.0,RHD,Engine CC 1500-1600,AC,Music System,FM radio etc. Naomba gharama ya Bandari ya DSM tu. CIF Dar. my Contact # 0754 364363
 
Mkuu binafsi nahitaji swift au Vitz nitapapata kwa bei gani mpaka naimiliki.

Swift CIF $ 2800. Jumla ya gharama yote (CIF + kutoa Bandarini) kadiri ya TZs 7,500,000/= gari iko nyumbani kwako ila Bima na service ya kwanza hujanya. PM me.
 
Back
Top Bottom