Mkwanga Senior Member Joined Dec 6, 2010 Posts 146 Reaction score 20 Oct 13, 2012 #1 magari mawili yamegongana na kuwaka moto km 24 kabla ujafika chalinze gari moja lilikuwa la mafuta na kusababisha foleni kwa magar yaendayo mikoani
magari mawili yamegongana na kuwaka moto km 24 kabla ujafika chalinze gari moja lilikuwa la mafuta na kusababisha foleni kwa magar yaendayo mikoani
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,739 Oct 13, 2012 #2 Poleni. hii nchi kila jambo linakwenda hovyo.