KAKA A TAIFA JF-Expert Member Joined Apr 27, 2011 Posts 566 Reaction score 83 Jul 19, 2011 #1 Huko ulaya mambo ndo yanazidi kuongezeka ,ndege ,vyombo vinavyokwenda anga za juu,magari/treni za umeme na sasa magari yanayopaa.sisi tunabaki kuruka na ungo na kwenda samunge badala ya kufanya research Attachments flyca[1].jpg 17.6 KB · Views: 136
Huko ulaya mambo ndo yanazidi kuongezeka ,ndege ,vyombo vinavyokwenda anga za juu,magari/treni za umeme na sasa magari yanayopaa.sisi tunabaki kuruka na ungo na kwenda samunge badala ya kufanya research
N Nacharo Member Joined Feb 17, 2011 Posts 19 Reaction score 0 Jul 19, 2011 #3 Huo usafiri wa ungo basi ungefanyiwa utafiti ukatumiwa na watu wote ungefaa sana tena hauna gharama.lo!
Huo usafiri wa ungo basi ungefanyiwa utafiti ukatumiwa na watu wote ungefaa sana tena hauna gharama.lo!
S SEAL Team 6 JF-Expert Member Joined Jun 10, 2011 Posts 655 Reaction score 118 Jul 19, 2011 #4 Mbio za Langalanga
G Gad ONEYA JF-Expert Member Joined Oct 26, 2010 Posts 2,629 Reaction score 172 Jul 19, 2011 #5 Haya bana, acha yaruke tu kama si kubanjuka!