B BIZNEM Member Joined Oct 3, 2014 Posts 26 Reaction score 6 May 15, 2015 #1 Nipigie simu kwa maelezo zaidi kupitia +255719215909,magari yote ni kutoka japan
maringeni JF-Expert Member Joined Oct 8, 2013 Posts 3,196 Reaction score 3,901 May 15, 2015 #2 Una whtastup tukutane huko. Nikupe choice utume picha na bei?
P phill JF-Expert Member Joined May 25, 2011 Posts 1,364 Reaction score 621 May 15, 2015 #3 weka picha wewe mambo ya whatsup ya nini? kuwa serious
maringeni JF-Expert Member Joined Oct 8, 2013 Posts 3,196 Reaction score 3,901 May 15, 2015 #4 Amesema "magari" maanake mengi.
V Vyamavingi JF-Expert Member Joined Oct 3, 2014 Posts 6,059 Reaction score 5,964 May 15, 2015 #5 maringeni said: Amesema "magari" maanake mengi. Click to expand... Atuwekee details za hayo magari- aina, mwaka, transmission na mileage.
maringeni said: Amesema "magari" maanake mengi. Click to expand... Atuwekee details za hayo magari- aina, mwaka, transmission na mileage.
hero de mmar JF-Expert Member Joined Apr 29, 2013 Posts 470 Reaction score 108 May 15, 2015 #6 BIZNEM said: Nipigie simu kwa maelezo zaidi kupitia +255719215909,magari yote ni kutoka japan Click to expand... Nataka la milioni moja ntapata
BIZNEM said: Nipigie simu kwa maelezo zaidi kupitia +255719215909,magari yote ni kutoka japan Click to expand... Nataka la milioni moja ntapata
O Obhwire bhwirile Member Joined Feb 6, 2015 Posts 48 Reaction score 18 May 15, 2015 #7 Mkuu weka japo bei kwa aina ya gari ulizonazo
Asante JF-Expert Member Joined Dec 18, 2009 Posts 2,085 Reaction score 1,082 May 15, 2015 #8 BIZNEM said: Nipigie simu kwa maelezo zaidi kupitia +255719215909,magari yote ni kutoka japan Click to expand... Biashara kwa staili hii yatauzika kweli hayo magari !!!!
BIZNEM said: Nipigie simu kwa maelezo zaidi kupitia +255719215909,magari yote ni kutoka japan Click to expand... Biashara kwa staili hii yatauzika kweli hayo magari !!!!
G gasgas JF-Expert Member Joined Jan 25, 2015 Posts 1,098 Reaction score 994 May 15, 2015 #9 toyota porte mnalo? Weka picha bei na kila kitu kama inawezekana
B BIZNEM Member Joined Oct 3, 2014 Posts 26 Reaction score 6 May 16, 2015 Thread starter #10 gari zipo nyingi sana kwenye stock yetu bei ni kuanzia za usdollar 1400 kutoka japan hadi dar es salaam
gari zipo nyingi sana kwenye stock yetu bei ni kuanzia za usdollar 1400 kutoka japan hadi dar es salaam
B BIZNEM Member Joined Oct 3, 2014 Posts 26 Reaction score 6 May 16, 2015 Thread starter #11 gari zipo nyingi za aina tofautitofauti make-toyota,suzuki,honda,nissan etc kwenye stock yetu bei ni kuanzia za usdollar 1400 kutoka japan hadi dar es salaam
gari zipo nyingi za aina tofautitofauti make-toyota,suzuki,honda,nissan etc kwenye stock yetu bei ni kuanzia za usdollar 1400 kutoka japan hadi dar es salaam
maringeni JF-Expert Member Joined Oct 8, 2013 Posts 3,196 Reaction score 3,901 May 16, 2015 #12 Huyu dalali hawazi kuwa na kampuni yenye ofisi Japan.