Sio masihara mtu anaweza kuwa anadaiwa matiketi au gari linahitaji elfu ya matengenezo ndio liweze kuruhusiwa kuingia barabarani mwaka mmoja zaidi. Hapo anaweza kuamua hiyo elfu aweke down payment ya gari jingine akaachana na la zamani. Sasa ukiokota gari la hivyo pia ulipishwe ushuru mkubwa?