Magari ya utalii yanakodishwa

Happiness2013

New Member
Joined
May 8, 2013
Posts
3
Reaction score
0
Magari haya ni mapya kabisa. Yanakodishwa kwa ajiri kutembeza watalii sehemu mbalimbali kama vile kuwatoa Airport kuwapeleka hotelini, kuwatoa hotelini kuwapeleka kwenye vivutio mbalimbali vya utalii. Magari haya yapo Dar es Salaam.

Mawasiliano : hkipanga2013@gmail.com
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…