Magari ya STK

Magari ya STK

supermario

Member
Joined
Dec 2, 2011
Posts
48
Reaction score
15
Kumbe ndo mchezo wao sio...
 

Attachments

  • 21757_4627442442184_1382705814_n.jpg
    21757_4627442442184_1382705814_n.jpg
    26 KB · Views: 661
Hii ni style ya wassira akiwa kwenye mabanda ya mbuzi choma.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
...ndo mchezo wako nini?

kwa udadisi tu, hilo jengo ni la central police station! Inawezekana hiyo gari ikawa ina ishu! Namaanisha labda ni mali ya serikali imetuhumiwa ktk uhalifu au ni ya mtu binafsi imetuhumiwa kuhusika ktk tukio la kihalifu!
 
hii iliwahi letwa hapa wakati wa kampeni.

hii staili hutumiwa na viongozi wa magamba
 
mleta mada huna ustaarabu wowote. hiyo picha umeipiga jengo la police central. wewe ulikuja uhamiaji maana hilo gari lipo karibia na wanapotolea paspot uhamiaji. kihererhere chako tuuuu, unajua ina maana gani???? msiingilie vitu visivyowahusu
 
Uliifungua hiyo kitu au uliifuma tu ikiwa hivyo. Funguka vzr mkuu
 
Back
Top Bottom