...Nakuunga Mkono. Ndio maana siku hizi unaangalia watu wnaopaswa kuwa walinzi wa raisi unajiuliza kama ni mameneja fulani. Angalia kwenye ile thread ya Walinzi wa Viongozi uone tofauti ya wa kwetu na wale wa Wenzetu! Mizaha na kujuana Kila Mahali hata pasipostahili.
Tatizo hapa sio sabotage ya maadui zake, maadui huwa wapo tu ndo maana viongozi huwa wanalindwa na wanakuwa na taratibu zao, tumezidi uzembe na ujinga ndo maana wakenya wanatusema.
That tells me jinsi gani vyombo vetu vya usalama vimeanza kuzembea kiasi cha kuyachukulia mambo ya msingi kirahisi rahisi tu. Hivi jamani, gari ya raisi inajazwa mafuta popote? Anyway its a good thing kwamba haikuleta madhara kwa raisi. Ila on the other side raisi naye ajue ni jinsi gani wananchi wanapata hasara ya kuharibbikiwa na magari yao kutokana na kuuziwa mafuta machafu ama yaliyochanganywa.
Mr Presidaa, how does it feel? Sucks huh...? Thats Tanzania friend, get used to it or do something about it. Hivi kwani SUMATRA inapanga bei ya mafuta tu? Hao SUMATRA wakishirikiana na TBS, TRA, POLISI hivi majanga kama haya hayataisha upesi Mr Presidaaa?
Natishika na muenendo wa maadili wa vyombo vya umma. Mbona sioni nidhamu na maadili ya kweli toka moyoni? Nikitazama naona maadili, uwajibikaji na nidhamu ya unafiki tu pindi pale unapofika wewe Mr Presidaa ama Waziri Mkuu ama Makamu wako. Tunakwendaje namna hii?
NIDNAMU........ NIDHAMU............... NIDHAMU............. NIDHAMU.............. NIDHAMU.......... NIDHAMU........ NIDHAMU......... NIDHAMU
UADILIFU............. UADILIFU.................... UADILIFU........................UADILIFU.......... UADILIFU................. UADILIFU
UWAJIBIKAJI........................ UWAJIBIKAJI.................. UWAJIBIKAJI..................UWAJIBIKAJI
Ukosefu wa hayo ni mojawapo ya magonjwa yanayoambukiza sana katika serikali na vyombo vya umma kwa hivi sasa. Matokeo yake ni RUSHWA na KUDUMAA kwa huduma na hatimaye kila kitu kupewa uthamani wa hela. Imefika mahali nikitaka uwajibikaji nitumie pesa, nikitaka uadilifu nitumie pesa, nikitaka nidhamu nitumie pesa. Tutafika?
TRA mpo?
Mheshimiwa gari yako ina sensor?!maana tumeambiwa yameshindwa kuwaka kwa sababu ya hiyo sensor?watu wangapi moshi wana VX V8 authentic sio zile za autorec and such?wakati wanaweka hayo mafuta magari mengine yalikuwa ni VX V8?Kusema kweli kwa mji wa Moshi kituo hicho cha Total cha Laswai ni kati ya vinavyoaminika sana. Mimi mwenyewe nikiwa huko huwa ni mteja wao na hakuna hata siku moja nimepata shida ya gari kutokana na mafuta yao.
Sawa inaweza kuwa kweli wamechanganya mafuta (labda ndio kawaida yao au siku hiyo ndio ya kwanza baada ya kuletewa mafuta na Mt Meru), lakini KWA NINI MAGARI HAYO YA IKULU TU NDIO YAZIMIKE?? Au hayo magari hayafanyiwi matengenezo ya mara kwa mara? Au huwa yanapakiwa tu hapo ikulu ya Moshi hadi ugeni wa rais utokee (what a waste!)?
Ushauri wangu ni huu, wote waliohusika na uandaaji wa hayo magari wawekwe chini ya ulinzi.
Halafu we Kikwete siku nyingine utembelee Landrover 110
Nimekusoma vizuri mkubwa....jambo usilolijua ni kama usiku wa giza. Kuna dhambi nyingine ukizifanya zinakatabia kakukuandama kila unakokwenda....msijisumbue kuwalaumu ewura wala mwenye kituo...kikwete anapambana na maaadui zake anaowajua na hii ni impact.....kosa kubwa la kikwete ni kuwa wakati anagombea kuanzia mwaka 1995 na hata mwaka 2005 aliwaumiza watu wengi mno[political suicide]..kupitia mtandao wake ambao haukuwa na huruma wala simile......kosa kubwa alilofanya ambalo wanasiasa wengi wastaarab hufanya ..hakukutana na maasimu wake ili kuweka mkono wa maridhiano na ikibidi kumbana radhi....for sure now this people are heating him back from all angles........haiwezekani ndani ya wiki 2 anakuana na mauza uza ya ajabu...acha yale ambayo hatuyajuwi...alafu eti watu waseme rais wenu yupo salama...no...no..no!!!
namuonea huruma sana rais...kwani anayo safari nzito mbele yake.....na kama hata gari zimepenyezewa mafuta machafu basi..tujuwe hata ndege inaweza kuwekewa mafuta machafu.......na ni bora huko mbeleni wanasiasa wakajifunza kutauta nafasi za kisiasa bila kuchafuana...na kuacha makundi !!!
Hakuna kitu chochote kitakachotokea kwa rais wetu,kama kingekuwa njiani kutokea tunaye mnajimu wa kimataifa Sheikh Yahya Hussein angeshatu alert!!Kama mambo yenyewe ndio hivi tusubiri janga kubwa zaidi kwa rais WETU.
Naona umeamua kufukua makaburi ya awamu iliyopitaHa ha ha