Uzi poa sana, shukrani mkuu
Mkuu hao wazungu tunawaogopa kama ukoma Acha tuendelee kuishi na wajapanSijaona mtu wa kununua Cardillac hapa. Labda PureView zeiss
wamesema gari,sio babywalker..Yaani bila Xtrail na Passo basi hizo takwimu ni batili....
Hahahaha..... Hata hivyo Xtrail sio BBWwamesema gari,sio babywalker..
Ndio magari tunayonunua used miaka zaidi 20 iliyopitaNaona Toyota lovers wanatabasamu tu.
Ina shida gani mkuu?Hiyo BMW X5, 13 Ninayo hapa sijui nani alinishauri ninunue imenifanya nimechukia kampuni ya BM