ATRACURIUM
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 753
- 920
Habari wapendwa,
jina langu naitwa jerry najihusisha na biashara ya uuzaji wa magari ambayo yametumika Tanzania,kupitia uzi huu ntakuwa naweza magari mbalimbali ambayo nmekabidhiwa na wahusika ili nipate kuwauzia,magari hayo ni mazuri na yenye ubora ambayo ninayauza kwa bei nafuu pia,pia kama unauza au unataka kununua gari nzuri yenye ubora basi naomba nitafute ili nipate kukupatia gari unalohitaji kwa gharama nafuu na bora kabisa
namba zangu ni
0659756647
0623953036
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ni kweli aisee ukiwa na ofisi inakuongezea credibility.Ofisi yako ni wapi kwani inapendeza zaidi ukiwa na Ofisi ambayo imeandikishwa na Brela?
hapa sijakuelewa mkuuNi kweli aisee ukiwa na ofisi inakuongezea credibility.
Unajua Kuna baadhi ya watu huwa hawapendi usumbufu wanapoamua kufanya Jambo la maendeleo.
So unakuta mtu pesa sio shida kwake lakini hapendi hiyo pesa yake impe milolongo mingi ya matumizi,vinginevyo anaona bora ikae benki tu.
tupo ilala mkuuOfisi yako ni wapi kwani inapendeza zaidi ukiwa na Ofisi ambayo imeandikishwa na Brela?
Namaanisha hivi ukifungua ofisi yako sehemu smart utapata matajiri wengi zaidi wa kununua magari yenye thamani mbalimbali.hapa sijakuelewa mkuu
Vp bado ipo hii gariHyundai
new model
mwenyewe permit yke imeisha ya kukaa nchini hvyo anaiuza
5000$
0659756647
Habari.
Naitwa Jerry natokea
JERRY EMPIRE
Mahali pekee tunapohusika na uuzaji magari used ndani ya Tanzania na hata yale kutoka Japan.kupitia sisi unaweza kuuza gari yako kwa haraka na bila kusahau unaweza kununua gari bora kabisa ambayo imetumika Tanzania kwa gharama nafuu.Tutafute ili tukupatie gari unayoitaka kwa gharama nafuu pia tukuuzie gari yako kwa haraka na wateja wa uhakika.Tunafanya kazi siku zote za week
karibuni sana
mawasiliano
0659756647 whatsapp
0623953036View attachment 1188857View attachment 1188859View attachment 1188860View attachment 1188861View attachment 1188862
Smart world doesn't need a physical office, it's thus y Ali baba and etc they sale for us while we don't know they are office were allocated..Ni kweli aisee ukiwa na ofisi inakuongezea credibility.
Unajua Kuna baadhi ya watu huwa hawapendi usumbufu wanapoamua kufanya Jambo la maendeleo.
So unakuta mtu pesa sio shida kwake lakini hapendi hiyo pesa yake impe milolongo mingi ya matumizi,vinginevyo anaona bora ikae benki tu.
That what you say is for civilized people who have a high degree of trust but not in Tanzania.Smart world doesn't need a physical office, it's thus y Ali baba and etc they sale for us while we don't know they are office were allocated..
Hata jina ana moja tu!
business is made after you have clear everything concerned the car sold ,documentall and physical of car then you can buy.we are very serious about the business that we do by make sure that those cars we sell have already cleared and got the quality we assure to our customersThat what you say is for civilized people who have a high degree of trust but not in Tanzania.
If you believe black people like that one day you will cry.
sold bossVp bado ipo hii gari
Weka pichantafute nnayo ya 3m 0659756647 kwa mahitaji ya magari ya kununua au kuuza gari yko used nitafute kwa namba hizo nipate kukusaidia kwa haraka
Sent using Jamii Forums mobile app