jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,871
- 10,193
- Thread starter
-
- #1,321
Jamaa yuko freshi sana bei zake sio za tamaa yani! Kuna premio nimeiona humu kwa jinsi ilivyo ile gari ungeifata pale Sinza kwa wale jamaa wa Katalunya wangetaka 13M! Premio zinauzwa ghali sana kwa madalaliAmna mkuu kiukweli nimeona angalau kwa tunaoweza kumpongeza hapa basi si vibaya lakini pia kuwajengea imani hata wanaosita sita.lakini jamaa ni bonge la mtu kuliko hata udalali wenyewe ulivyo
Mkuu hakika mimi nilichukua kimeo kimoja kwa bei ya infinix na hana tamaa hata kidogo nimeshangaa sana kukutana na dalali wa namna hii na pia hata kama gari fulani haipo poa anakushauri.Jamaa yuko freshi sana bei zake sio za tamaa yani! Kuna premio nimeiona humu kwa jinsi ilivyo ile gari ungeifata pale Sinza kwa wale jamaa wa Katalunya wangetaka 13M! Premio zinauzwa ghali sana kwa madalali
Ndio watu wanatakiwa hawaMkuu hakika mimi nilichukua kimeo kimoja kwa bei ya infinix na hana tamaa hata kidogo nimeshangaa sana kukutana na dalali wa namna hii na pia hata kama gari fulani haipo poa anakushauri.
HakikaNdio watu wanatakiwa hawa