jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,876
- 10,201
- Thread starter
-
- #761
Kama huyu jerry anakupiga bei inakaribia na showroomKununua gari used bongo Ni stress
Hayo ndo maneno. Japo hujafanikiwa kunipa sababu kwa nn niagize na wewe wakati makampuni ya kijapan yanakuoa discount mpaka 700USD/unit...eg. Real Motors, SBT, Be Forward Wana Ofisi nchini Tena hata kulipia unalipia kwenye Akaunti za hapa hapa nchini baada ya kutumiwa invoicekaribu ununue na kuagiza toka japan kupitia sisi hakika hutojutia
ndugu hyo ni dhambi unajitafutia huenda ukawa hujui kuwa mim ndo dalali naeuza gari kwa bei rahis mno humu jf unaweza kupitia hapo juu nmeipost raum old no DT kwa bei ya 6.7m tu wakati kwengne utauziwa 10+mKama huyu jerry anakupiga bei inakaribia na showroom
hata sisi mkuu unalipia hapa hapa nchini tena tunatoa mpka mkopo wa gar kwa mwaka mzma baada ya kulipia awamu ya kwanzaHayo ndo maneno. Japo hujafanikiwa kunipa sababu kwa nn niagize na wewe wakati makampuni ya kijapan yanakuoa discount mpaka 700USD/unit...eg. Real Motors, SBT, Be Forward Wana Ofisi nchini Tena hata kulipia unalipia kwenye Akaunti za hapa hapa nchini baada ya kutumiwa invoice
Kama una brevis nyeusi naomba unitumieToyota Brevis
Manufactured Year: 2004
Engine Capacity: Cc 2491
Engine Code: 1JZ
Mileage: 120,000+km
Fuel: Petrol
price 7.5m
je unahitaji kuuza gari yako?
Je unahitaji kununua gari nzuri?
Basi karibu sana jerry empire tukuhudumie
Tupo ilala dar es salaam
Tunafanya kazi siku zote za week
Wasiliana nasi
tufollow instagram
0623953036 whatsapp/callView attachment 1624223View attachment 1624224View attachment 1624225View attachment 1624226 Create an account or log in to Instagram - Share what you're into with the people who get you.www.instagram.com
whatsapp callsKama una brevis nyeusi naomba unitumie
mimi nadia ninayo, nicheki kwa namba 0686124826. BEI ya mwisho mil 8.5Mbona NADIA huwa sizioni humu? Naomba kufaham NADIA hz new model zpo km Harrier hv mpya zinauzwaje na mkononi pia zinauzwaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
ulipata?ist namba C au D, iwe imekaza inahitajika chap, kuna 6M, cash now
More pictures, price and location please.