View attachment 1048148
View attachment 1048150
Hiyo Harrier dalali kaanzia 4.5m nimemtafuta mwenye na hizo za gari kasema hata chini ya 4m inazungumzika na kanieleza ukweli tatizo zima la gari, mileage nk sasa huoni Dalali kutokuweka namba za muuzaji anajiwekea 1m nzima na gari ikibuma hiyo 1m si ningenunulia injini pale Ilala, ndio maana sipendi gari iuzwe na watu wawili
Ukitaka kumjua mwenye gari ingia Traffic
http://tms.tpf.go.tz/ namba ya leseni ya siku hiyo, au Ingia TRA au BIMA (TIRA MIS) ndipo utawaona wamiliki