jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,871
- 10,193
- Thread starter
-
- #2,221
Ili we umpigie mwenye gari maanake kuna mtu katikati yako na mwenye gari, kama si hivyo basi mwenye gari akupigie yeye mwenyewe mfanye biashara.Ni Biashara ya kizamani sana tena ya kishamba, watu mnaelekezwa njia rahisi ya kuweka Contact na specification za magari ziwe open mnazificha
sasa Hasara huoni ni kwa mwenye mali
Dalali siku zote atarundika magari yakikosa mteja anasonga mbele
Ni gari gani limeuzwa kwa njia hii tangu Tangazo litoke hata mwaka utaisha
Magari yanauzwa kila siku na kwa mitandao mingi tu ingia www.zoomtanzania.com uone walivyaAdvance
simu unampigia mwenye Gari moja kwa moja dalali anapewa chake km ni lazima
EXCHANGE IPO✅EXCHANGE IPO✅M15 inaenda?Canter namba EHH
Std 6
Bawaba 8
Full Documents 📄
Bei mln 58
Gari badompyaaa Tajiri
KWA MAHITAJI YA
KUUZA AU KUNUNUA GARI YAKO KARIBU NIKUHUDUMIE TUPO
DAR ES SALAAM
0659756647 CALLS/WHATSAPP
Bei 58 uombe kwa 15? Kuna muda mnafaa kupiga kimyaM15 inaenda?
Kula 8Probox succeed
Full ac
Engine 1490cc
Mwaka 2005
Bei million 12.8
KWA MAHITAJI YA
KUUZA AU KUNUNUA GARI YAKO KARIBU NIKUHUDUMIE TUPO
DAR ES SALAAM
0659756647 CALLS/WHATSAPP
Ndo changamoto tunazokutana nazo kwenye biashara hizo hyo gari inauzwa mpaka 70m unaweka bei rafiki kwa 58m mtu anakwambia ana 15m wakati hyo 15m hata no A canter tone 3.5 hupatiBei 58 uombe kwa 15? Kuna muda mnafaa kupiga kimya