Magari unique Tanzania

Mad Max

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
25,420
72,612
Kwa wale Car Enthusiasts najua mmewahi kuona magari ya kiutofauti/Special hapa nchini. Inaweza kua sports cars, muscle cars, highly customized cars etc. Namaanisha yale ambayo tumeyaona sana kwenye movies, picha na mitandao yakimilikiwa na matajiri au celebrities wa nchi za ughaibuni.

Mimi nimebahatika kuona Dodge Challenger SRT_8 Kama anayoendesha mtu mzima Vin Diesel kwenye Fast and Furious franchise.

Naiweka hapa.
bdef0c65fce1df374f82fc4f27d814b2.jpg


Pia kuna mtu Davis Mosha amewahi miliki Lamborghini Muercellago sijui kama bado anayo.

a19921399986bc82b316f9ccdb6af467.jpg


kama na wewe umewahi kuiona gari ukabahatika kichukua picha, unaweza share na sisi.
 
Back
Top Bottom