DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,129
Katika ulimwengu wa leo, magari ya kifahari kama Rolls-Royce, Bugatti, na Lamborghini yamekuwa alama ya hadhi, mafanikio, na utajiri wa hali ya juu. Gari moja tu linaweza kugharimu zaidi ya shilingi bilioni 70, sawa na kuweza kujenga shule kadhaa, hospitali, au barabara za vijijini hapa Tanzania.
Lakini kwa Watanzania wengi, ndoto ya kumiliki gari binafsi bado ni changamoto kubwa. Wengi wanategemea daladala, bodaboda au bajaji kufika kazini au shule. Hali hii inaonyesha tofauti kubwa kati ya maisha halisi ya wananchi na anasa za ulimwengu, huku mitandao ya kijamii ikichochea hamasa ya ndoto za kifahari.
Haya ni baadhi ya magari ghali zaidi duniani, kulingana na orodha ya Dubai Sotheby’s, ambayo yamevutia hisia na ndoto za watu duniani, ikiwa ni pamoja na Watanzania wanaodhani ndoto ya kumiliki magari ya kifahari ni alama ya mafanikio.
2. Rolls Royce Boatail - AED 103 Million ($28 Million) sawa na Tsh. Bilioni 68,867,680,000
Gari hili la kifahari limebuniwa kwa ustadi wa juu, likiiga boti za kifahari za miaka ya 1920 na 1930. Lina sehemu maalum ya burudani, ikijumuisha mwavuli wa jua na friji ya champagne, huku likiwa na mgongo unaofanana na sehemu ya boti za mbao.
3.Pagani Zonda HP Barchetta - AED 68 Million ($18.5 Million) Sawa na Tsh. Bilioni 45,501,860,000
Ni aina ya gari Iliyotengenezwa kama heshima kwa gari maarufu la Pagani Zonda, Pagani Zonda HP Barchetta ni zaidi ya gari tu. Ni matokeo ya msukumo wa enzi ya renaissance na dhana za sayansi ambazo daima zimekuwa sehemu muhimu ya falsafa ya muundo wa Pagani.
4. Bugatti La Voiture Noire - AED 59 Million ($16 Million) sawa na Tsh. Billion 39,520,000,000.00
Bugatti La Voiture Noire (kwa Kifaransa inamaanisha "Gari Jeusi"), ni gari la kipekee la aina moja tu linalolipia heshima Bugatti Type 57 SC Atlantic la Jean Bugatti lililopotea muda mrefu. Kwa kuwa garazi nne tu za asili zilitengenezwa, tatu ziliuzwa, na moja, toleo lote jeusi, ilibaki mikononi mwa Jean Bugatti.
5. Rolls-Royce Sweptail – AED 47.2 Million ($12.8 Million) sawa na Tsh. Bilioni 31,482,368,000
Ni aina ya gazi ambalo Paa la glasi lisilo na kifungo lolote linafunika ndani ya gari kwa mwanga wa asili. Vifaa vya kudhibiti vyenye muundo rahisi vinaruhusu vifaa vya ubora wa juu kama Ebony ya Macassar iliyopambwa na Paldao yenye pore wazi kuchukua nafasi kuu ndani ya kabini, na kuunda mlinganyo wa rangi na ngozi za Moccasin na Dark Spice.
Hayo ni magari matano 5 ya kifahari zaidi duniani kwa mwaka 2025. Kumekuwa na tetesi kwamba baadhi ya magari haya yanamilikiwa na Watanzania, wakiwemo viongozi wa serikali, watoto wa viongozi, na makada wa vyama vya siasa.
Kwa mujibu wa mwanaharakati Mange Kimambi, magari haya yana gharama kubwa sana kwa sasa, na amedai kwamba baadhi yake yapo nchini Tanzania. Swali linaloibuka ni: je, magari haya ya kifahari yamenunuliwa kwa fedha binafsi za wamiliki wake, au ni matokeo ya matumizi mabaya ya kodi za wananchi?
Kwa mujibu wa andiko lake la Agosti 27, 2025, mwanaharakati huyo alidai kuwa baadhi ya watu aliowataja katika chapisho hilo wanamiliki baadhi ya magari ya kifahari na yenye gharama kubwa, yakiwemo Lamborghini, Aston Martin Valour, Rolls-Royce Black Badge, Bentley, na Ferrari..
2. Aston Martin Valou: Jukwaa lililotengenezwa kutoka Valkyrie, likiwa na faraja iliyoboreshwa barabarani pamoja na utendaji wa hali ya juu wa hypercar.thamani yake ni $2.65M sawa na Tsh. Bilioni 6,517,834,000
3. Rolls-royce black badge: ni toleo la “alter ego” la Rolls-Royce linaloleta muonekano wa kisasa zaidi, nguvu kubwa, na urembo chini ya rangi nyeusi. Inatofautiana kwenye modeli (Ghost, Wraith, Cullinan, Spectre, nk.),
Thamani ya gari hili inakadiriwa kuwa $1.5 million sawa na Bilioni 3,682,500,000 TSh.
4. Bentley: Bei za magari ya Bentley hutofautiana kulingana na aina (model), lakini huanza takribani dola za Marekani 200,000 na inaweza kufikia zaidi ya dola 265,000. Ambapo kwa thamani ya fedha za kitanzania ni sawa na Milioni 488,829,627.00.
Zingatia viwango vya Fedha Septemba 15, 2025.
Je, matumizi ya fedha kwa ununuzi wa magari haya ya kifahari yana uhalali gani mbele ya mahitaji muhimu ya wananchi kama ujenzi wa shule, hospitali na barabara?
Ni kwa kiwango gani ununuzi wa magari haya unadhihirisha mgawanyo usio sawa wa rasilimali nchini?
Akitoa maelezo ya awali,Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma Dkt. Fredrick Sagamiko amesema ujenzi wa shule hiyo utagharimu shilingi 3.9 bilioni ikiwa ni ujenzi wa majengo ya ghorofa 5 na mabweni kwa awamu ya pili.
kwa thamani ya Gari moja aina ya Bugatti La Voiture Noire - AED 59 Million ($16 Million) sawa na Tsh. Billion 39,520,000,000.00 Inaweza kujenga shule 10 kamili.
Ikumbukwe kuwa hivi karibuni kumekuwa na taarifa za baadhi ya viongozi kumiliki magari ya kifahari yenye thamani kubwa sana, kama Rolls-Royce, G-Wagon, na Lamborghini. Je, viongozi hawa wakidhibitiwa, hatuwezi kuwa na nchi tajiri isiyo na changamoto?
Hali hii inaonyesha kuwa mali binafsi ya viongozi haihakikishi maendeleo ya taifa. Taifa linaweza kuwa na rasilimali nyingi, lakini changamoto kama umaskini, ajira, na miundombinu bado zipo. Utajiri wa viongozi pekee hauwezi kuondoa matatizo ya wananchi wengi; maendeleo yanahitaji uwajibikaji, sera bora, na usimamizi sahihi wa rasilimali za taifa.
Lakini kwa Watanzania wengi, ndoto ya kumiliki gari binafsi bado ni changamoto kubwa. Wengi wanategemea daladala, bodaboda au bajaji kufika kazini au shule. Hali hii inaonyesha tofauti kubwa kati ya maisha halisi ya wananchi na anasa za ulimwengu, huku mitandao ya kijamii ikichochea hamasa ya ndoto za kifahari.
Haya ni baadhi ya magari ghali zaidi duniani, kulingana na orodha ya Dubai Sotheby’s, ambayo yamevutia hisia na ndoto za watu duniani, ikiwa ni pamoja na Watanzania wanaodhani ndoto ya kumiliki magari ya kifahari ni alama ya mafanikio.
1. Rose Noire Droptail - AED 117.7 Million ($32 Million) Sawa na Tsh. TSh Bilioni 78,705,920,000
Bei yake ni takriban Tsh. 78 Bilioni. Hii ni gari la kifahari lenye viti viwili, lililochochewa na maua aina ya Black Baccara Rose. Lina sehemu ya juu inayoweza kutolewa na ndani yake kuna mapambo ya kisasa yaliyotengenezwa kwa vipande zaidi ya 1,600 vya mbao za sycamore nyeusi.2. Rolls Royce Boatail - AED 103 Million ($28 Million) sawa na Tsh. Bilioni 68,867,680,000
Gari hili la kifahari limebuniwa kwa ustadi wa juu, likiiga boti za kifahari za miaka ya 1920 na 1930. Lina sehemu maalum ya burudani, ikijumuisha mwavuli wa jua na friji ya champagne, huku likiwa na mgongo unaofanana na sehemu ya boti za mbao.
3.Pagani Zonda HP Barchetta - AED 68 Million ($18.5 Million) Sawa na Tsh. Bilioni 45,501,860,000
Ni aina ya gari Iliyotengenezwa kama heshima kwa gari maarufu la Pagani Zonda, Pagani Zonda HP Barchetta ni zaidi ya gari tu. Ni matokeo ya msukumo wa enzi ya renaissance na dhana za sayansi ambazo daima zimekuwa sehemu muhimu ya falsafa ya muundo wa Pagani.
4. Bugatti La Voiture Noire - AED 59 Million ($16 Million) sawa na Tsh. Billion 39,520,000,000.00
Bugatti La Voiture Noire (kwa Kifaransa inamaanisha "Gari Jeusi"), ni gari la kipekee la aina moja tu linalolipia heshima Bugatti Type 57 SC Atlantic la Jean Bugatti lililopotea muda mrefu. Kwa kuwa garazi nne tu za asili zilitengenezwa, tatu ziliuzwa, na moja, toleo lote jeusi, ilibaki mikononi mwa Jean Bugatti.
5. Rolls-Royce Sweptail – AED 47.2 Million ($12.8 Million) sawa na Tsh. Bilioni 31,482,368,000
Ni aina ya gazi ambalo Paa la glasi lisilo na kifungo lolote linafunika ndani ya gari kwa mwanga wa asili. Vifaa vya kudhibiti vyenye muundo rahisi vinaruhusu vifaa vya ubora wa juu kama Ebony ya Macassar iliyopambwa na Paldao yenye pore wazi kuchukua nafasi kuu ndani ya kabini, na kuunda mlinganyo wa rangi na ngozi za Moccasin na Dark Spice.
Hayo ni magari matano 5 ya kifahari zaidi duniani kwa mwaka 2025. Kumekuwa na tetesi kwamba baadhi ya magari haya yanamilikiwa na Watanzania, wakiwemo viongozi wa serikali, watoto wa viongozi, na makada wa vyama vya siasa.
Kwa mujibu wa mwanaharakati Mange Kimambi, magari haya yana gharama kubwa sana kwa sasa, na amedai kwamba baadhi yake yapo nchini Tanzania. Swali linaloibuka ni: je, magari haya ya kifahari yamenunuliwa kwa fedha binafsi za wamiliki wake, au ni matokeo ya matumizi mabaya ya kodi za wananchi?
Kwa mujibu wa andiko lake la Agosti 27, 2025, mwanaharakati huyo alidai kuwa baadhi ya watu aliowataja katika chapisho hilo wanamiliki baadhi ya magari ya kifahari na yenye gharama kubwa, yakiwemo Lamborghini, Aston Martin Valour, Rolls-Royce Black Badge, Bentley, na Ferrari..
- Lamborghini: Ni aina ya Magari yanayonajulikana kwa mwendo wa kasi sana, muundo wa kisasa na wa kipekee, pamoja na bei ghali.Kwa hivyo, bila kujali modeli, Lamborghini kwa kawaida ni supercar ya utendaji wa juu iliyoundwa kwa ubora, kasi, na muundo wa anasa. Inauzwa bei ya$600,000. sawa na Tsh. Bilioni 1,468,288,800.00.
Thamani ya gari hili inakadiriwa kuwa $1.5 million sawa na Bilioni 3,682,500,000 TSh.
Zingatia viwango vya Fedha Septemba 15, 2025.
Ni kwa kiwango gani ununuzi wa magari haya unadhihirisha mgawanyo usio sawa wa rasilimali nchini?
Mfano, May 29 2025
Jiji la Dodoma lilisaini mkataba wa ujenzi wa shule ya Sekondari Chahwa wenye thamani ya Tsh 3.9 bilioni,shule ambayo itasaidia kuwapokea wanafunzi wa kata ya Chahwa na kata za jirani.Akitoa maelezo ya awali,Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma Dkt. Fredrick Sagamiko amesema ujenzi wa shule hiyo utagharimu shilingi 3.9 bilioni ikiwa ni ujenzi wa majengo ya ghorofa 5 na mabweni kwa awamu ya pili.