Magari Best Price offer from 7Mil

Magari Best Price offer from 7Mil

Gariexpress

Member
Joined
Feb 23, 2015
Posts
44
Reaction score
11
Karibuni Gariexpress.com.
Magari yalioagizwa (Imported Vehicles) yapo katika yadi yetu, Magari yametumika japan only (used overseas only). Kwa wanaohitaji karibuni sana. Best offer kulinganisha na yadi nyingne yoyote Tanzania. Karibu Sasa.

CONTACT: 0765072175 (Whatsapp for pics)

BEST PRICE - MAGARI:
1. PASSO - 7.5MIL
2. PREMIO - 11.5MIL
3. PORTE - 8.5MIL
4. MARKX - 16MIL
5. VITZ (NEW MODEL) - 9MIL
6. RACTIS- 10.5MIL
7. RAUM - 10.5MIL
8. SIENTA - 8.5MIL
9. IST - 10.5MIL

NOTE: Kila gari zipo nyingi ukiwahi uhuru wako kuchagua. Karibuni sana.

Thanks
Gariexpress.com
Support

​
 
Ukiwa tayari kuja kuangalia magari utawasiliana na namba hapo juu kupata maelekezo zaidi.

Thanks
Gariexpress.com
Support

Kajipange Upya Mkuu,Watu wanaulizia yard ipo wapi wewe unaleta tantalila,kama yard zipo tanzania nzima na kila wilaya si useme kwamba mnapatikana tanzania nzima? Swala la kupiga simu kuja kuona kama nipo tandahimba nikipiga simu utanipeleka kuona?
 
Biashara haiendi hivyo...njoo tukufundishe namna ya kuattract clients' attention.
 
Karibuni Gariexpress.com.
Magari yalioagizwa (Imported Vehicles) yapo katika yadi yetu, Magari yametumika japan only (used overseas only). Kwa wanaohitaji karibuni sana. Best offer kulinganisha na yadi nyingne yoyote Tanzania. Karibu Sasa.

CONTACT: 0765072175 (Whatsapp for pics)

BEST PRICE - MAGARI:
1. PASSO - 7.5MIL
2. PREMIO - 11.5MIL
3. PORTE - 8.5MIL
4. MARKX - 16MIL
5. VITZ (NEW MODEL) - 9MIL
6. RACTIS- 10.5MIL
7. RAUM - 10.5MIL
8. SIENTA - 8.5MIL
9. IST - 10.5MIL

NOTE: Kila gari zipo nyingi ukiwahi uhuru wako kuchagua. Karibuni sana.

Thanks
Gariexpress.com
Support

​

Ok tumekusikia
 
Kajipange Upya Mkuu,Watu wanaulizia yard ipo wapi wewe unaleta tantalila,kama yard zipo tanzania nzima na kila wilaya si useme kwamba mnapatikana tanzania nzima? Swala la kupiga simu kuja kuona kama nipo tandahimba nikipiga simu utanipeleka kuona?
Ni utaratibu wa utawala wa yadi kupunguza watu ambao sio potential kabisa hatuitaji watu waje kuangalia magari tunahitaji watu wanaotaka kununua magari. Kama ww ungekuwa potential customer ungepiga simu badala ya ku-comment. So far tushapokea simu za potential customers wengi tu from this thread only na tumewatumia picha na kila ktu wanachotaka kujua na hawajalalamika kuhusu huduma na biashara inaendelea vizuri. Kama wewe potential customer Karibu sana.

Thanks
Gariexpress.com
Support
 
Jamani kama mnaitaji gari mshapewa namba hizo hapo juu chukueni mtumiwe picha na maelezo yote mnayoitaji cyo kukosoa bila msingi
Mi nakushauri gariexpress usihangaike kujibizana na watu coz unaweza kupanic ukaharibu mambo
Kwakawaida wenye nia na gari watakutafuta hewani kupata details na picha za magari husika
 
Hivi IST new model wanadai ni D4 engine.Hii engine ina shida gani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom