Magar mazuri for sale chagua chagua lako.

Magar mazuri for sale chagua chagua lako.

Big Money

Senior Member
Joined
Oct 24, 2011
Posts
166
Reaction score
15
Benz C200 1998
111000km
Petrol
Automatic
14mil
1392834378536.jpg

Spacio New model
Full duty paid
Automatic
101000km
11.5mil
1392834498917.jpg

Toyota Allex 2003
99000km
Full duty paid
10.8mil
1392834815993.jpg

Toyota Passo 2005
89000km
1.3cc
Full ac
CD player
AM/FM radio
Bei 7.5mil
Ndo imeingia tu nchini
1392835042260.jpg1392835165453.jpg

LDV bus toka UK 2002
Ndo limeingia tu nchini
13.5mil
1392835320660.jpg
1392835375256.jpg1392835457337.jpg

Suzuki Carry 1998
Haijatupika sana
Body yake bado mpya haina hata kutu
660cc
Bei 6.5mil
1392835736512.jpg
Serious buyers only
0716398757
 
bei ya juu saana kulingana na upatikanaji wa magari kwa sasa!!

ukiagiza hizo gari unabakiwa na hela zaidi ya 3m kwa kila moja
 
0716398757
Serious buyers only.
Am here for business upuuzi tusileteanee hapa.
 
Attachments

  • 1393042220483.jpg
    1393042220483.jpg
    44.1 KB · Views: 388
  • 1393042308165.jpg
    1393042308165.jpg
    38 KB · Views: 376
  • 1393042341498.jpg
    1393042341498.jpg
    58.1 KB · Views: 370
bei ya juu saana kulingana na upatikanaji wa magari kwa sasa!!

ukiagiza hizo gari unabakiwa na hela zaidi ya 3m kwa kila moja

Sawa mkuu agiza basi acha watu wafanye biashara zao....thats meaning ya business mkuu...zaidi toa ushauri reasonable
 
hyo bei ya passo ni fullpaid! Je kwass wny vipato kiduchu unaweza ukalpia kwa installement au kwa awamu mbili?utaratb ukoje?
 
hyo bei ya passo ni fullpaid! Je kwass wny vipato kiduchu unaweza ukalpia kwa installement au kwa awamu mbili?utaratb ukoje?

Yeah ni full paid mkuu, na kuhusu kulipia kwa installment hilo nadhani twaweza ongea.
 
hizo CC mbona sizielewi jamani?

ndo engine power ama nini?
 
bei ya juu saana kulingana na upatikanaji wa magari kwa sasa!!

ukiagiza hizo gari unabakiwa na hela zaidi ya 3m kwa kila moja

Kwani yeye amekwambia anatoa msaada? kama unataka kuagiza agiza.
 
Suzuki Escudo
6mil
Ipo katika hali nzuri inatembea haisumbua
Serious buyers call
0716398757
 
Attachments

  • 1393473865690.jpg
    1393473865690.jpg
    87.1 KB · Views: 238
  • 1393473914479.jpg
    1393473914479.jpg
    42.6 KB · Views: 222
  • 1393473940602.jpg
    1393473940602.jpg
    40.9 KB · Views: 211
bei ya juu saana kulingana na upatikanaji wa magari kwa sasa!!

ukiagiza hizo gari unabakiwa na hela zaidi ya 3m kwa kila moja

Yaan unakua mama sio great thinker, kama unawez kuagiza agiza sio kuongea utumbo! Unadhn ukisema hvy big money hatapigiwa cm au unadh watu watakupm ww! Heb jielewe ndugu usiwe bumbuwazi kihivy! Ongea kitu reasonable kama huna kaa kimya we pita tu!
heb tuabadilike basi, tuwe ma great thinker!
Dats all! Thanks
 
Sory i mean unakua kama* na sio mama
 
Back
Top Bottom