Chaimaharage JF-Expert Member Joined Apr 3, 2012 Posts 211 Reaction score 78 Nov 23, 2013 #1 Ndo maana yake..Huku tuliko ni shangwe sababu huyu mtu ni kama vile alicheleweshwa..Lakini wadau kama mna kumbukumbu ya matukio mnakumbuka kipindi wabunge wa CDM walivyo piga kura ya kutokuwa na imani na jamaa huyu?
Ndo maana yake..Huku tuliko ni shangwe sababu huyu mtu ni kama vile alicheleweshwa..Lakini wadau kama mna kumbukumbu ya matukio mnakumbuka kipindi wabunge wa CDM walivyo piga kura ya kutokuwa na imani na jamaa huyu?