green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 11,305
- 35,852
Nawakigundua umejichora na maker pen kuonesha sijda watakuzibua chemba
#bamia_ndefunene
#bamia_ndefunene
HahahaaaaMmmh nitakuwa siendi mlimani city, quality center wala city mall halafu hii city mall mmiliki wake ni msomali
Tunawasubr Wanakuja Tanzania inabidi tujiandae View attachment 998688
Sent using Jamii Forums mobile app
ExactlyHawa jamaa wanaongea kiswahili kizuri hivi kuna dalili kabisa wanachukua watu hata Tanzania
Wasomali hapo mbeleni walikuwa wanashabikia sana haya mashambuliz ya Alshabab Nairobi. Lakini wamekuja kuwa wahanga wakubwa sana wa Alshabab na lile tukio kubwa liloua watu karibu 1000 mogadishu liliwashtua sana hata Alshabaab wenyewe waliogopa kusema walihusika
Usiombe my friend hiyo attack kutokea unaweza kupoteza mke, watoto pamoja na wazazi kwa wakati mmojabora waje tu heshima iwepo
Mzuqa wanaJamvi,
Nikiangalia footage za CCTV za mashambulizi za magaidi wa Alshabaab Nairobi nashikwa nauwoga mkubwa sana.
Binadamu kila kukicha tunakuwa makatili. Napiga picha je ningekuwa kweye lile eneo hata ningepona ila iyo trauma ingedumu.
Tusidhani hayajatukuta huwez juwa situeshen kama hii ya kuogofya inaweza kukuta popote tu kanisani msikitini sokoni stendi ya basi yani magaidi yana masterplan ya kushtukiza na kuwafanya muwe confused na kuua kikatili. Ogopa sana mtu ambaye haogopi kufa ana cha kupoteza.
Sasa hivi naishi kama nyoka kuna msemo wa kiingereza cautious like a snake nachukua tahadhari sana.
Napotembea napoingia kwenye bus, treni ama kwenye mkusanyiko wa watu na chunguza sana nyendo za watu na saikolojia. Nikiona mtu anabehave in afunny way ni kutimua mbio tu.
Pia kwenye begi langu nina kibaragashia na marker pen nyeusi tuseme wavamie treni ama basi faster nachomoa kibarashia halafu najichora alama nyeusi pajini nakuifuta niwe na sigdah ili wakianza kutusort out wataniona mimi mmoja wao.
Never take anything for granted concerning personal safety.
Tahadhari muhimu ila kikubwa kuliko yote ni kumuomba Mungu tu akuepushe kwenye matukio ya kigaidi..
Its really terrifying
Mungu awabariki wahanga na pia awabariki wakenya nawasomali huko Mogadishu ambao pia kila siku wanauawawa kwa makumi na haya magaidi