Grader JF-Expert Member Joined Feb 23, 2009 Posts 445 Reaction score 65 Aug 1, 2015 #1 Habari za uhakika kutoka EWURA zinaonyesha ukokotoaji wa bei za mwezi ujao ambazo zinatarajia kutangazwa Jumatano zinaonyesha Petrol itashuka kwa tsh 210,Diesel 150 na mafuta ya taa 100.
Habari za uhakika kutoka EWURA zinaonyesha ukokotoaji wa bei za mwezi ujao ambazo zinatarajia kutangazwa Jumatano zinaonyesha Petrol itashuka kwa tsh 210,Diesel 150 na mafuta ya taa 100.
SINA JINA1 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2012 Posts 391 Reaction score 152 Aug 1, 2015 #2 Washushe tu, kura kwa EL
SOGHOO JF-Expert Member Joined Mar 25, 2015 Posts 1,268 Reaction score 568 Aug 1, 2015 #3 CCM wanakumbuka kushusha net asubuhi. Kawaambie tumenyonywa kiasi cha kutosha sasa tunataka tuone wenzao wa CHADEMA kama wanaweza
CCM wanakumbuka kushusha net asubuhi. Kawaambie tumenyonywa kiasi cha kutosha sasa tunataka tuone wenzao wa CHADEMA kama wanaweza
Asabaya JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 1,310 Reaction score 418 Aug 1, 2015 #4 😄😄😄😄baraaaaa
M Mwanselu New Member Joined Jan 10, 2015 Posts 3 Reaction score 2 Aug 1, 2015 #5 Hiyo ni taarifa iliyopotofu! Kwa taarifa yako petroli inapanda kinoma huku dizeli na mafuta ya taa yakishuka kwa cents
Hiyo ni taarifa iliyopotofu! Kwa taarifa yako petroli inapanda kinoma huku dizeli na mafuta ya taa yakishuka kwa cents
I ibanezafrica JF-Expert Member Joined Oct 23, 2014 Posts 7,261 Reaction score 6,556 Aug 2, 2015 #6 Which is which?
Possibles JF-Expert Member Joined Sep 22, 2011 Posts 1,943 Reaction score 2,482 Aug 2, 2015 #7 Watu wanapenda sana umbeya.Tusubiri siku husika ya kutangaziwa bei.
Fall Army Worm JF-Expert Member Joined Jan 8, 2015 Posts 19,371 Reaction score 14,497 Aug 2, 2015 #8 Possibles said: Watu wanapenda sana umbeya.Tusubiri siku husika ya kutangaziwa bei. Click to expand... Huwezi jua mkuu,labda yeye ni mfanyakazi wa Ewura.
Possibles said: Watu wanapenda sana umbeya.Tusubiri siku husika ya kutangaziwa bei. Click to expand... Huwezi jua mkuu,labda yeye ni mfanyakazi wa Ewura.
Rohombaya JF-Expert Member Joined Jul 4, 2011 Posts 13,078 Reaction score 10,430 Aug 2, 2015 #9 SINA JINA1 said: Washushe tu, kura kwa EL Click to expand... Khaa!! EL huyu fisadi papa??
W wa hapahapa JF-Expert Member Joined Aug 22, 2012 Posts 7,460 Reaction score 4,402 Aug 2, 2015 #10 kwani, ewura bado hawajatoa bei elekezi ?.
BRO SANTANA JF-Expert Member Joined Jun 15, 2015 Posts 1,845 Reaction score 2,249 Aug 2, 2015 #11 SOGHOO said: CCM wanakumbuka kushusha net asubuhi. Kawaambie tumenyonywa kiasi cha kutosha sasa tunataka tuone wenzao wa CHADEMA kama wanaweza Click to expand... Chukua 5 hukohuko uliko.
SOGHOO said: CCM wanakumbuka kushusha net asubuhi. Kawaambie tumenyonywa kiasi cha kutosha sasa tunataka tuone wenzao wa CHADEMA kama wanaweza Click to expand... Chukua 5 hukohuko uliko.
Grader JF-Expert Member Joined Feb 23, 2009 Posts 445 Reaction score 65 Aug 2, 2015 Thread starter #12 Mwanselu said: Hiyo ni taarifa iliyopotofu! Kwa taarifa yako petroli inapanda kinoma huku dizeli na mafuta ya taa yakishuka kwa cents Click to expand... Huu ni mtandao wa uwazi na ukweli. Subiri jtano halafu uone upotofu Wangu.
Mwanselu said: Hiyo ni taarifa iliyopotofu! Kwa taarifa yako petroli inapanda kinoma huku dizeli na mafuta ya taa yakishuka kwa cents Click to expand... Huu ni mtandao wa uwazi na ukweli. Subiri jtano halafu uone upotofu Wangu.