Baada ya mafuta ya taa kuadimika,jana nime yakuta kwa bei ya TSHS.2700/Litre.LAKINI rangi yake ni Blue,je nikwa nini?mwenye taarifa anijuze.mimi nipo mbozi mbeya.
Baada ya mafuta ya taa kuadimika,jana nime yakuta kwa bei ya TSHS.2700/Litre.LAKINI rangi yake ni Blue,je nikwa nini?mwenye taarifa anijuze.mimi nipo mbozi mbeya.
Pole nadhani we' c sehemu ya M4C (hautaki walao kubadilika),kukubali kwamba ccm wanatuumiza,na kwa 7bu hiyo unawakwaza wanaoitakia mema nchi.
Keep mum kama hauna cha kuongea,pia ni busara.
I hope u don' mind,hey....