Mafuta ya Petrol yaadimika Mtwara

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
Mji wa Mtwara umekumbwa na uhaba wa mafuta ya Petrol kwa siku ya tatu mfululizo na kusababisha iuzwe kwa bei ya ulanguzi,toka shilingi 1,950 kwa lita hadi 2,500.

Chanzo: ITV
 
Rekebisha title.. "kuhadimika"???
 
Back
Top Bottom