Hapa kuna perfume tatu za kike, zina manukato mazuri sana na zenye marashi yaliyotengenezwa kwa kutumia malighafi asilia.. .
Tuanze na PARADISE (Floral Woody Musk)
Imetengenezwa kwa kutumia;
- Rose Pepper
- Jasmien Petals
- musk
Bei ni tsh 90,000/= ukijiunga kwa tsh 10,000/= utaipata kwa tsh 69,200/=
Nyingine LOVELY GARDEN (Woody Oriental)
Imetengenezwa kwa kutumia;
- Hot Milk Accord
- Vanilla Orchid
_ Rhubarb
Bei ni tsh 82,000/=, ukijiunga kwa tsh 10,000/= utaipata kwa tsh 63,100/=
Halafu kuna na hii POSSES (Chypre Floral Fruity)
Imetengenezwa kwa kutumia;
- Ylang ylang
- Indonesian Patchoul
-Queen Pineapple..
Bei ni tsh 112,000/=, ukijiunga kwa tsh 10,000/= utaipata kwa tsh 86,200/=
Karibuni sana Bidhaa za OrRIFLAME hakika hukidhi hitaji la mteja... Ukipata kutumia bidhaa hizo hakika hautajutia..
Naomba yangu ni 0672416294 karibu tuongee biashara ya ORIFLAME.