Dah...acha kula chakula chenye mafuta mengi....kitimoto na nyama punguza sana au acha kabisa...kula matunda na mbogamboga Hadi uvimbiwe...fanya mazoezini ya kukutoa jasho usoni...osha uso Mara kwa mara kwa maji ya uvuguvugu....ukipata wasaa ingia sauna... Lete mrejesho baada ya wiki 2