Mafuta mafuta Halisi Ya Parachichi

served

Senior Member
Joined
Nov 6, 2013
Posts
168
Reaction score
58
Habari wana Jamii forum Mafuta halisi ya parachichi yanapatikana kwetu.
Yanasaidia kuondoa miwasho mwilini na kwenye nywele
Yanatibu vidonda
Yanafifisha michirizi
Yanakukinga usiungue na mionzi ya jua(ukipaka hausikii kama jua linakuchoma)
Bidhaaa asili ya kitanzania

Bei zetu ni hizo
Mls 60-2500
Mls 120-4000
Mls 250-8000
Mls 500-15000

Ukihitaji naomba unicheki PM Asanteni sana

 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…