Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 34,434 Reaction score 59,295 Oct 30, 2016 #2 Hapo naona traffic warden anaangalia kosa lipi amfungulie na kwa kifungu gani cha sheria Najua atapata tu
Hapo naona traffic warden anaangalia kosa lipi amfungulie na kwa kifungu gani cha sheria Najua atapata tu
zimwimtu JF-Expert Member Joined Mar 7, 2012 Posts 1,988 Reaction score 1,097 Oct 30, 2016 #3 ha ha ha... huyo sio traffic.. hakuna unifom za hivo. suruali nyeupe huwa hazima mifuko ya pembeni.
Freyzem JF-Expert Member Joined Jun 29, 2013 Posts 10,180 Reaction score 24,798 Oct 30, 2016 #4 Huyo ni boss wake anampa maagizo kuwa akifika, aanze kuwalisha hayo majani ndama kwanza...kisha anarekodi! Hilo likitabu ni kwa ajili ya kurekodi tripu alizoenda kwa ajili ya malipo!!
Huyo ni boss wake anampa maagizo kuwa akifika, aanze kuwalisha hayo majani ndama kwanza...kisha anarekodi! Hilo likitabu ni kwa ajili ya kurekodi tripu alizoenda kwa ajili ya malipo!!
P Percival JF-Expert Member Joined Mar 23, 2010 Posts 4,014 Reaction score 3,103 Oct 30, 2016 #5 buti zinang'aa kweli