Mafuriko yote yameelekezwa baharini

singidadodoma

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
4,394
1,531
Yahaya Msangi

KATIKA tolea na 415 niliandika makala yenye kichwa cha habari ?Ukawa, Magufuli na anguko kuu.? Katika makala hiyo nilielezea baadhi upungufu ya Ukawa. Niliwaeleza kuwa mpinzani wao mkuu a.k.a tingatinga si mtu wa kumfanyia mzaha na itakuwa vigumu wao kumshinda! Niliambulia matusi si haba.

Pia nimewahi kutoa makala kuelezea ni kwa nini Ukawa wataangukia pua! Nilitoa sababu kadhaa ikiwemo uongo wa ziada (exaggerated lying) kuhusu mafuriko, mlinganisho potofu kwa yaliyotokea kwa vyama vikongwe Kenya, Zambia na Nigeria, n.k.

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imekwishaanza kutangaza matokeo; nikiri kwamba hadi naandika makala hii ni majimboau mikoa michache imekwishatolewa matokeo. Hata hivyo, mwenye akili zisizoning?inia atabaini sasa ni dhahiri Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni John Magufuli. Ukitizama tofauti ya kura kati yake na Edward Lowassa (kule aliposhinda Magufuli) utaona uwazi (gap) ni pana mno kuliko kule alikoshinda mwenzie. Ukitizama maeneo utaona kuwa kule ambako ?mafuriko? yalitengenezwa ndiko aliposhinda Magufuli au CCM! Mwanza na Mara ni mifano miwili ya nguvu! Nadhani hata watengeneza mafuriko hili limewap simanzi.

Naomba sasa nirejee kichwa cha makala hii huku nikiamini kwa asilimia 120 kuwa mafuriko yameelekezwa baharini!
Upinzani umefanya makosa mengi ya msingi na wengi wameshaandika haya - kuna kupokea makapi, kuna kuweka mayai yote kapu moja (kuachiana), kuna kushindwa kutangaza sera hata siku ya ufunguzi wa kampeni, kuna kudhulumiana ndani ya ushirika, kuna kutowafikia wananchi wengi vijijini kwa kupenda starehe na misifa ya helikopta, kuna kutokujibu tuhuma nzito dhidi ya afya ya mgombea wao, kuna kutojibu tuhuma kuhusu chama kikuu ndani ya Ukawa kununuliwa, kuna kudharau mpinzani wao mkuu kana kwamba kazeeka au kachoka sana, kuna kudharau umuhimu wa watumbuizaji katika jamii ya kiafrika na kuwaita fiesta, n.k. Makosa ni mengi mno. Ila hii ilitokana na nini? UNYUMBU!

Nyumbu inasadikika ndiye mnyama mwenye IQ (ufahamu) mdogo kuliko wanyama wengi mbugani. Ni mnyama ambaye mwindaji hasumbui akili yake sana japo nyumbu ana maguvu na mapembe makali! Kichwani hamna kitu! Nyumbu hujihami kwa kuotea! Huota kuwa simba au mwindaji mwingine yeyote akija atamla jirani yake na si yeye! Kwa hiyo aendapo nyumbu mwenzie na yeye huenda! Nyumbu mwenzie akipiga kona na yeye hupiga kona! Nyumbu mwenzie akisimama na yeye husimama! Nyumbu mwenzie akiruka na yeyehakawii!

Ndio maana katika lile ajabu mojawapo la dunia litokealo mtoMara kule Serengeti mamba hujilia nyumbu hadi wanakinai! Akitokea nyumbu mmoja akaruka mtoni au akamsukuma mwenzie basi nyumbu wote watarukia mtoni au watasukumana hadi wadumbukie mtoni.

Tabia hii ya nyumbu tumeiona katika kampeni za Ukawa! Wenyewe kwa vinywa vyao tumewasikia wakijinadi ALIPO NA SISI TUPO! Yaani hata akitumbukia mtoni na wao watajiloweka humo! Hata pale ilipokuwa dhahiri kipenzi chao ni mgonjwa taabani tumewasikia wakisema TUTAMPA KURA HUYOHUYO HATA KWA MACHELA TUTAMPELEKA IKULU! Ni unyumbu ulikuwa upo kazini! Ndioo! Nyumbu hawanamuda wa kufikiri hata kidogo! Husukumana na huigana matendo!

Ni katika unyumbu huu watu walishindwa kufanya tafakuri yakina! Hata pale nyumbu mkuu aliposema atawaachia watu waliohukumiwa na mahakama ya juu kabisa nchini kwa makosa mazito kabisa bado nyumbu wadogo walirukaruka kushangilia!Si nyumbu? Hata pale wawindaji walipotuhumu kuwa nyumbu mkubwa nimgonjwa badala ya kuweka mkakati wa kuwaaminisha wapigakura kuwa nyumbu mkuu yuko ngangari wao ndio kwanza wanasema TUNATAKA HUYO HUYO MGONJWA!

Tabia hii ya unyumbu imesababisha anguko kuu nililolitabiri liwe kweli! Hili ni anguko kuu kwa kuwa hakika mwaka 2020 watu watasita kugeuka nyumbu! Bahati mbaya sana barani Afrika ili upinzani uweze kushika dola unyumbu unahitajika.

Kwa kawaida huwa anatokea almaarufu (celebrity) ambaye anatengeneza manyumbu wengi! Huyu Almaarufu akijua kucheza politics of wildbeasts anawashangaza watawala. Akishindwa huwa anatoweka kama alivyochomoza! Ni kwa kuwa kwa bahati mbaya zaidi unyumbu haujirudii! Ukipita umepita.
 
Baada ya muda si mrefu mtasema "Nafuu hata utawala wa kikwete". Huyo Magufuli ambaye hata hajui mikataba ya gesi ikoje na ni ya akina nani, utawala wake utakuwa ni kituko!
 
there you are! wajuzi wa mambo waliuujua udhaifu wa upinzani, walirahisisha mambo mno, Ccm is big party lakn wao pamoja na wengne kutoka Ccm waliignore, mgombea dk5 kasha maliza, waccm almost SAA zima, manyumbu walianza kuchemka jukwaan japokua wao huwahawamin
 
Big party in terms of control of power of command, udhaifu wa upinzani ni kwa sababu hawewezi kuamuru vyombo vya usalama kutenda na kusimamia kile wanachoamini ni haki!
 
Je, kuna tija gani ktk kuongea sana na kuleta maendeleo? Kama maneno mengi ndio sera basi hingereni. Kama sio this is a right argumentation
 
Hoja yako ni ya hovyo na sio ya mtu mzalendo bali wewe ni shabiki na sio mkweli,ungetumia akili kidogo basi ungeyaonyesha mapungufu ya uchaguzi na sio kuleta ushabiki kama huu,eti ulitabiri,huoni aibu
 
Yahaya Msangi

KATIKA tolea na 415 niliandika makala yenye kichwa cha habari ?Ukawa, Magufuli na anguko kuu.? Katika makala hiyo nilielezea baadhi upungufu ya Ukawa. Niliwaeleza kuwa mpinzani wao mkuu a.k.a tingatinga si mtu wa kumfanyia mzaha na itakuwa vigumu wao kumshinda! Niliambulia matusi si haba.

Pia nimewahi kutoa makala kuelezea ni kwa nini Ukawa wataangukia pua! Nilitoa sababu kadhaa ikiwemo uongo wa ziada (exaggerated lying) kuhusu mafuriko, mlinganisho potofu kwa yaliyotokea kwa vyama vikongwe Kenya, Zambia na Nigeria, n.k.

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imekwishaanza kutangaza matokeo; nikiri kwamba hadi naandika makala hii ni majimboau mikoa michache imekwishatolewa matokeo. Hata hivyo, mwenye akili zisizoning?inia atabaini sasa ni dhahiri Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni John Magufuli. Ukitizama tofauti ya kura kati yake na Edward Lowassa (kule aliposhinda Magufuli) utaona uwazi (gap) ni pana mno kuliko kule alikoshinda mwenzie. Ukitizama maeneo utaona kuwa kule ambako ?mafuriko? yalitengenezwa ndiko aliposhinda Magufuli au CCM! Mwanza na Mara ni mifano miwili ya nguvu! Nadhani hata watengeneza mafuriko hili limewap simanzi.

Naomba sasa nirejee kichwa cha makala hii huku nikiamini kwa asilimia 120 kuwa mafuriko yameelekezwa baharini!
Upinzani umefanya makosa mengi ya msingi na wengi wameshaandika haya - kuna kupokea makapi, kuna kuweka mayai yote kapu moja (kuachiana), kuna kushindwa kutangaza sera hata siku ya ufunguzi wa kampeni, kuna kudhulumiana ndani ya ushirika, kuna kutowafikia wananchi wengi vijijini kwa kupenda starehe na misifa ya helikopta, kuna kutokujibu tuhuma nzito dhidi ya afya ya mgombea wao, kuna kutojibu tuhuma kuhusu chama kikuu ndani ya Ukawa kununuliwa, kuna kudharau mpinzani wao mkuu kana kwamba kazeeka au kachoka sana, kuna kudharau umuhimu wa watumbuizaji katika jamii ya kiafrika na kuwaita fiesta, n.k. Makosa ni mengi mno. Ila hii ilitokana na nini? UNYUMBU!

Nyumbu inasadikika ndiye mnyama mwenye IQ (ufahamu) mdogo kuliko wanyama wengi mbugani. Ni mnyama ambaye mwindaji hasumbui akili yake sana japo nyumbu ana maguvu na mapembe makali! Kichwani hamna kitu! Nyumbu hujihami kwa kuotea! Huota kuwa simba au mwindaji mwingine yeyote akija atamla jirani yake na si yeye! Kwa hiyo aendapo nyumbu mwenzie na yeye huenda! Nyumbu mwenzie akipiga kona na yeye hupiga kona! Nyumbu mwenzie akisimama na yeye husimama! Nyumbu mwenzie akiruka na yeyehakawii!

Ndio maana katika lile ajabu mojawapo la dunia litokealo mtoMara kule Serengeti mamba hujilia nyumbu hadi wanakinai! Akitokea nyumbu mmoja akaruka mtoni au akamsukuma mwenzie basi nyumbu wote watarukia mtoni au watasukumana hadi wadumbukie mtoni.

Tabia hii ya nyumbu tumeiona katika kampeni za Ukawa! Wenyewe kwa vinywa vyao tumewasikia wakijinadi ALIPO NA SISI TUPO! Yaani hata akitumbukia mtoni na wao watajiloweka humo! Hata pale ilipokuwa dhahiri kipenzi chao ni mgonjwa taabani tumewasikia wakisema TUTAMPA KURA HUYOHUYO HATA KWA MACHELA TUTAMPELEKA IKULU! Ni unyumbu ulikuwa upo kazini! Ndioo! Nyumbu hawanamuda wa kufikiri hata kidogo! Husukumana na huigana matendo!

Ni katika unyumbu huu watu walishindwa kufanya tafakuri yakina! Hata pale nyumbu mkuu aliposema atawaachia watu waliohukumiwa na mahakama ya juu kabisa nchini kwa makosa mazito kabisa bado nyumbu wadogo walirukaruka kushangilia!Si nyumbu? Hata pale wawindaji walipotuhumu kuwa nyumbu mkubwa nimgonjwa badala ya kuweka mkakati wa kuwaaminisha wapigakura kuwa nyumbu mkuu yuko ngangari wao ndio kwanza wanasema TUNATAKA HUYO HUYO MGONJWA!

Tabia hii ya unyumbu imesababisha anguko kuu nililolitabiri liwe kweli! Hili ni anguko kuu kwa kuwa hakika mwaka 2020 watu watasita kugeuka nyumbu! Bahati mbaya sana barani Afrika ili upinzani uweze kushika dola unyumbu unahitajika.

Kwa kawaida huwa anatokea almaarufu (celebrity) ambaye anatengeneza manyumbu wengi! Huyu Almaarufu akijua kucheza politics of wildbeasts anawashangaza watawala. Akishindwa huwa anatoweka kama alivyochomoza! Ni kwa kuwa kwa bahati mbaya zaidi unyumbu haujirudii! Ukipita umepita.
Acha kuleta maneno mengi! Blah blah za nini?
sisi tuna subiri hizo ahadi ambazo makomeo amehaidi? ???
 
Back
Top Bottom