Mafuriko makubwa Same Mjini leo

Captain22

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2011
Posts
630
Reaction score
285
Wanajamii nipo safari na ninapita Same mjini na nimekuta mafuriko makubwa na mvua bado inaendelea kunyesha. Wanaoendesha njia hii wawe makini maeneo haya maana maji yanapita juu ya barabara.
 
Ahsante kwa taarifa yako. mimi niko korogwe naelekea mwanga. bora nilale hapa, nisafiri kesho maana muda huu visibilty sio nzuri. ahsante sana
 
Uamuzi wa busara sana nimepata tabu sana mimi. Karibu A-town
 
Hapo takribani kila mwaka kunatokea mafuriko. Magari huwa hayapiti, watu n.k wanabebwa, barabara inaharibika, kwa kifupi huo ni mkondo wa maji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…