beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,879
- 6,356
Zaidi ya hekari 1000 za mazao ya chakula zimesombwa na maji huku nyumba 10 zikianguka na nyingine zaidi ya 100 zimezingirwa na maji katika kijiji cha Changarawe kata ya Masanze wilayani Kilosa mkoa wa Morogoro.
Mafuriko makubwa yametokea yamesababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katika mkoa huo na kusababisha baadhi ya wananchi kuyakimbia makazi yao.