Masokotz
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,832
- 6,468
Habari za wakati huu; ndugu wadau;
Je wewe ni mfanyabiashara ndogo ndogo?Je unahangaika na namna ya kukuza na kusimamia biashara yako?
Je wewe ni mtu unayetamani kuanzisha biashara Je unakwamba kujua mahali na mbinu za kuanzisha biashara yako?
Je unapenda kupata maarifa na taarifa kuhusu biashara na ujasiriamali na fursa mbalimbali za mitaji,masuala ya usajili,kodi,leseni na vibali?
Kama Jibu Ni Ndiyo. Basi tunakualika katika mafunzo maalum ya Ujasiriamali wa Kidigitali ambayo yakuwezesha kupata nafasi ya kufahamu masuala mbalimbali kuhusu biashara na ujasiriamali.Mafunzo hayo hutolewa kila mwezi kwa gharama nafuu na kwa kuzingatia uwezo wako na uelewa wake.Ukishiriki katika Mafunzo haya unapata nafasi ya kupata "Free Non technical Business Support Service" Kwa mwaka mmoja. Yenye thamani ya TZS 1,000,000.Mafunzo yatatolewa kwa Lugha ya kiswahili na Kiingereza
Yafuatayo ni maelezo mafupi kuhusu Mafunzo haya:
Kuhusu SISI
Masoko Consulting ni Strategic Consulting Firm (Washauri waelekezi wa Kimkakati) ambao tunatumia mbinu za kisasa na utaalam wa kisasa katika kuwasaidia wateja wetu kutambua fursa na kuzitumia kwa ajili ya kukuza biashara zao na kukuza faida.Lengo letu ni kuwasaidi wafanyabiasha wadogo na wakati kubadilisha na kuboresha mfumo wa uendeshaji na usimamizi wa biashara zao ili ziendane na dunia ya kisasa kwa kuwawezesha kufikia zana za kisasa,utaalamu wa kisasa na teknolojia katika kuendesha biashara zao.
Sisi tunatoa huduma ya usajili wa Majina ya biashara,kampuni,leseni,TIN number NGOs,Taasisi za Kijamii,SACCOS,Taasisi za KIDINI,Taasisi za ELIMU,Viwanda,UWEKEZAJI na pia tunatoa ushauri juu ya namna bora ya kuendesha biashara yako.Unaweza kupata huduma hizo kwa gharama nafuu.Baadhi ya huduma hizo ni pamoja na:
Huduma hizi zinapatikana kwa pamoja au kwa moja moja na mfumo wetu wa malipo ni nafuu na unazingatia matokea katika kila hatua.Kama unahitaji huduma zetu wasiliana nasi kwa email:masokotz@yahoo.com au kwa simu +255710323060.

- Utangulizi Kuhusu Ujasiriamali na Fursa na Mazingira ya Biashara ya Tanzania
- Jinsi ya Kujijenga Kijasiriamali
- Utengenezaji au Ugunduaji wa wazo au Fursa ya Biashara
- Kuweka wazo la biashara katika Andiko
- Usajili,leseni,Vibali na Masuala ya Kodi
- Usimamizi wa mitaji,mapato na matumizi
- Kanuni ya Msingi ya Mafanikio
- Simulizi ya Mafanikio/Changamoto
- Maswali na majibu SEKTA kwa SEKTA
- Half Day Crash Course
- Full Day Master Class with Networking Evening
- 2 Days Master Class with Practical case Study
- Private Course
- Online learning Mode
Kuhusu SISI
Masoko Consulting ni Strategic Consulting Firm (Washauri waelekezi wa Kimkakati) ambao tunatumia mbinu za kisasa na utaalam wa kisasa katika kuwasaidia wateja wetu kutambua fursa na kuzitumia kwa ajili ya kukuza biashara zao na kukuza faida.Lengo letu ni kuwasaidi wafanyabiasha wadogo na wakati kubadilisha na kuboresha mfumo wa uendeshaji na usimamizi wa biashara zao ili ziendane na dunia ya kisasa kwa kuwawezesha kufikia zana za kisasa,utaalamu wa kisasa na teknolojia katika kuendesha biashara zao.
Sisi tunatoa huduma ya usajili wa Majina ya biashara,kampuni,leseni,TIN number NGOs,Taasisi za Kijamii,SACCOS,Taasisi za KIDINI,Taasisi za ELIMU,Viwanda,UWEKEZAJI na pia tunatoa ushauri juu ya namna bora ya kuendesha biashara yako.Unaweza kupata huduma hizo kwa gharama nafuu.Baadhi ya huduma hizo ni pamoja na:
- Kwanza tutakushauri kuhusu muundo wa biashara yako faida na hasara pamoja fursa mbalimbali
- Pili tutakufanyia utafiti na ushauri wa Jina la Biashara yako kwa kuzingatia vigezo vya SOKO
- Tutakufanyia Taratibu zote za usajili kuanzia Uandaaji wa Nyaraka Mpaka Kukamilika kwa Usajili Kampuni,TRA,Mashine za EFD na VFD,Vibali vya TBS pamoja na leseni
- Tutakuandikia Company Profile ya Kisasa kwa Lugha ya Kiingereza na Kiswahili
- Kama unahitaji mkopo kutoka katika taasisi za fedha tutakusaidia kufanya mchakato kwa kuzingatia mahitaji yako na vigezo vya taasisi husika.
- Tutakutengenezea Website ya kisasa kwa ajili ya Biashara na huduma zako.
- Tutakutengenezea, Logo, Business Card,Letter Head pamoja na Nyaraka nyingine za Kibiashara
- Tutakupatia Mfumo wa Kutunza kumbukumbu kwa njia ya Mtandao au kwenye Computer yako kwa ajili ya kusimamia Biashara yako
- Tutakufanyia Initial Marketing kwa Wateja wako (Inategemea aina ya biashara )wa Mwanzo ili kuwa na customer base ya kuanzia
- Pia tutakusaidia Mchakato wa Kufungua Bank Account kwa kutumia jina la Biashara yako (Deposit Ya Kwako)
- Tutakuwa nawe katika mchakato mzima wa kuendesha biashara yako mpaka itakapokuwa stable na wewe kupata uzoefu wa kutosha katika biashara yako.