Habari wadau;
Napenda kuwatangazia kuwa kutakuwa na mafunzo maalum yatakayotolewa katika ofisi zetu zilizopo Dar es Salaam.Mafunzo haya pia yanapatika katika mfumo wa Private study ambapo tunakufuata mahali ulipo Mafunzo haya ni:
Utengenezaji na usimamizi wa Website na blog .Basic web Development and administration
Urekebishaji na usimamizi wa Hifadhi ya barua pepe(Basic Outlook and webmail client configuration and management
Pia tunatoa mafunzo ya introduction to Computers(Ms OS,Ms Office,Internet and Email kwa wanaomaliza kidato cha sita na wengineo.Tunafundisha kwa kutumia Laptop na tuna Generator pamoja wireless internet.Tunatoa Certificate of Attendance kwa mafunzo yote.
Pia tunafanya software development,webhosting,email hosting,domain registration na mafunzo ya computer kwa watoto kila Jumamosi and kutoa Mafunzo mbalimbali kwa Makampuni na Watu Bainafis