*Anga handbag design college; mafunzo ya kushona mikoba ya kina mama na kina baba*
Anga handbag design college in chuo kinachotoa mafynzo ya kushona mikoba ya ngozi, na vitambaa.chuo kipo morogoro njoo ujifunze kushona handbags za kisasa kwa ubunifu Wa hali ya juu, kozi ni miezi 3 mpaka sita ,kwa wale watakaopenda kusoma online huduma hyo pia inapatikana .Kwa mawasiliano zaidi pigs Simu namba 0769648110 na 0713689829