makondekoujiji
JF-Expert Member
- Aug 31, 2015
- 384
- 501
Leo ni tarehe 10/4/2017. Kwa nini mwisho uwe ni 30/3/2017? Na huo mwisho ulikuwa ni wa kuchukua form au kurudisha hizo form?Wapendwa Don bosco oysterbay wametangaza nafasi za kusoma bure masomo ya jioni kwa faini ya ushonaji, uchomeleaji, ufundi seremala, ukataji vyuma( filter mechanics) na computa. Ni kozi ni za bure kuanzia jioni. Km unandugu au rafiki au mtu yoyote unataka kumsaidia kimaisha mwambie aje achukue form. Mwisho ni tarehe 30/3/2017. Wameingia mkataba na serikali. Muda ni Mwaka mmoja. Form zinatolea kuanzia asubuhi SAA mbili mpka SAA kumi na nusu mwisho. Karibuni
Kama hukuliona tangazo pole
Mkuu inamaana unaenda kuchukua fomu tu au mpaka ukubaliwe baada ya kutuma barua ya maombi?Wapendwa Don bosco oysterbay wametangaza nafasi za kusoma bure masomo ya jioni kwa faini ya ushonaji, uchomeleaji, ufundi seremala, ukataji vyuma( filter mechanics) na computa. Ni kozi ni za bure kuanzia jioni. Km unandugu au rafiki au mtu yoyote unataka kumsaidia kimaisha mwambie aje achukue form. Mwisho ni tarehe 30/3/2017. Wameingia mkataba na serikali. Muda ni Mwaka mmoja. Form zinatolea kuanzia asubuhi SAA mbili mpka SAA kumi na nusu mwisho. Karibuni
Kama hukuliona tangazo pole
Hahaha MKUU kwani hukuzinyaka?Jamani.warudie tena banaaaa
Hata kidogoooo.Mimi napenda sana kuwa na fani zaidi ya moja.ningeendaHahaha MKUU kwani hukuzinyaka?
Hata Mimi ningeenda kuchukuwa at least fani ya computerHata kidogoooo.Mimi napenda sana kuwa na fani zaidi ya moja.ningeenda
Daah.warudie bhana.Mimi ningeenda kuchukua weldingHata Mimi ningeenda kuchukuwa at least fani ya computer