Morgan Fisherman JF-Expert Member Joined Dec 10, 2017 Posts 2,024 Reaction score 2,455 Jan 9, 2018 #1 Anaejua mafunzo ya ADDO mkoani mbeya yanatolewa katika vituo gani na gharama zake naomba anisaidie.
Tushfutshtar Senior Member Joined Dec 30, 2017 Posts 117 Reaction score 112 Jan 9, 2018 #2 Wanakuja mkuu vumilia kidogo!
Morgan Fisherman JF-Expert Member Joined Dec 10, 2017 Posts 2,024 Reaction score 2,455 Jan 9, 2018 Thread starter #3 Tushfutshtar said: Wanakuja mkuu vumilia kidogo! Click to expand... vigezo gani vinahitajika ,na wanakuja limi boss?
Tushfutshtar said: Wanakuja mkuu vumilia kidogo! Click to expand... vigezo gani vinahitajika ,na wanakuja limi boss?
Bugududu Sududu JF-Expert Member Joined Apr 19, 2014 Posts 600 Reaction score 700 Jan 11, 2018 #4 Haya mambo hayahusiani humu chamsingi nenda ofisi za wizara ya afya kanda au kwa mfamasia wa mkoa utapata taarifa sahihi
Haya mambo hayahusiani humu chamsingi nenda ofisi za wizara ya afya kanda au kwa mfamasia wa mkoa utapata taarifa sahihi
MKWEPA KODI JF-Expert Member Joined Nov 28, 2015 Posts 28,700 Reaction score 71,125 Jan 11, 2018 #5 Bugududu Sududu said: Haya mambo hayahusiani humu chamsingi nenda ofisi za wizara ya afya kanda au kwa mfamasia wa mkoa utapata taarifa sahihi Click to expand... Kweli aende kwa mfamasia wa mkoa atapata maelekezo na miongozo yote
Bugududu Sududu said: Haya mambo hayahusiani humu chamsingi nenda ofisi za wizara ya afya kanda au kwa mfamasia wa mkoa utapata taarifa sahihi Click to expand... Kweli aende kwa mfamasia wa mkoa atapata maelekezo na miongozo yote
Morgan Fisherman JF-Expert Member Joined Dec 10, 2017 Posts 2,024 Reaction score 2,455 Jan 21, 2018 Thread starter #6 Bugududu Sududu said: Haya mambo hayahusiani humu chamsingi nenda ofisi za wizara ya afya kanda au kwa mfamasia wa mkoa utapata taarifa sahihi Click to expand... shukrani
Bugududu Sududu said: Haya mambo hayahusiani humu chamsingi nenda ofisi za wizara ya afya kanda au kwa mfamasia wa mkoa utapata taarifa sahihi Click to expand... shukrani