Abuhunna JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 409 Reaction score 233 Sep 18, 2016 #1 Kama habari inavyo jieleza, utapata mafunzo ya program mbalimbali za computer popote ulipo hapa DAR, pia matengenezo na ushauri wa kitaalam wa huduma za computer kwa bei rahisi sana, kwa maelezo zaidi fungua kipeperushi kilicho ambatanishwa hapa. Attachments New letter Kisw.pdf New letter Kisw.pdf 493.3 KB · Views: 91
Kama habari inavyo jieleza, utapata mafunzo ya program mbalimbali za computer popote ulipo hapa DAR, pia matengenezo na ushauri wa kitaalam wa huduma za computer kwa bei rahisi sana, kwa maelezo zaidi fungua kipeperushi kilicho ambatanishwa hapa.
Clever Gk Member Joined Aug 13, 2015 Posts 39 Reaction score 6 Sep 18, 2016 #2 Namba ya usajili NACTE please.
Glas JF-Expert Member Joined May 30, 2016 Posts 1,242 Reaction score 1,188 Sep 18, 2016 #3 Hivi usajili wa center kama hyo inaweza kuwa ngap
Abuhunna JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 409 Reaction score 233 Sep 18, 2016 Thread starter #4 Clever Gk said: Namba ya usajili NACTE please. Click to expand... Mafunzo tunayo toa hayana kituo, yaani ni kupata uelewa binafsi tu kwa mwenye uhitaji na ndio maana tunamfuata msomaji alipo km akipenda iwe hivyo.
Clever Gk said: Namba ya usajili NACTE please. Click to expand... Mafunzo tunayo toa hayana kituo, yaani ni kupata uelewa binafsi tu kwa mwenye uhitaji na ndio maana tunamfuata msomaji alipo km akipenda iwe hivyo.