Mafunzo na huduma muhimu za computer

Mafunzo na huduma muhimu za computer

Abuhunna

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2014
Posts
409
Reaction score
233
Kama habari inavyo jieleza, utapata mafunzo ya program mbalimbali za computer popote ulipo hapa DAR, pia matengenezo na ushauri wa kitaalam wa huduma za computer kwa bei rahisi sana, kwa maelezo zaidi fungua kipeperushi kilicho ambatanishwa hapa.
 

Attachments

Hivi usajili wa center kama hyo inaweza kuwa ngap
 
Namba ya usajili NACTE please.
Mafunzo tunayo toa hayana kituo, yaani ni kupata uelewa binafsi tu kwa mwenye uhitaji na ndio maana tunamfuata msomaji alipo km akipenda iwe hivyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom