Mafundi wa skiming na rangi

Kusem kweli Kaz nzur mno, maua safiii! Nitawatafuta mambo yakikaa poa wakubwa! Natumai bei zenu hazitokuwa mkazi pia
 
Mkuu nipe makadilio ya gharama ya vifaa kwa nje kwa hiyo nyumba ya kwanza kwa nje tu yani skimming,rangi pamoja na ya fundi.
 
Kusem kweli Kaz nzur mno, maua safiii! Nitawatafuta mambo yakikaa poa wakubwa! Natumai bei zenu hazitokuwa mkazi pia
usijali kiongoz bei n nzur tu kulingana na mahitaji.
 
Mkuu nipe makadilio ya gharama ya vifaa kwa nje kwa hiyo nyumba ya kwanza kwa nje tu yani skimming,rangi pamoja na ya fundi.
Ina tegemea na ukubwa wa nyuma kama iyo ni kubwa ina vyumba vikubbwa vinne self citing room kubwa dining jiko coldoor mbili kwa makadilio zaidi nione whatsap no:0718884670
 
Nakuja na material mazuri na imara hata kwenye maji huimili nayo ni marmarito
 
Wazoefu wa upigaji wa rangi aina mbalimbali hususani za majumbani texture design skiming zilizonyooka na rangi za kisasa nzuri tuna ushaurli pia kwa mteja kulingana na wakati, mawasiliano ni jambo la muhimu 0682717890 nicheki tuyajenge karibuni sana, mteja ni
mfalme usisite kuuliza.



 
Fundi mzuri wa rangi pamoja na skimmng decorations mbali mbali kwa mawasiliano zaidi
Nicheki watsap 0718884670


 
Fundi wa rangi na skimming finishing zote zinazo husu rangi marekebisho ya rangi zilizo banduka na fangasi tunatibu na matilio yaliyo maalumu kwa sehem izo na ushauri mwingineo kwa ushauli na maongezi wasiliana nami kwa 0718884670 au 0682717890



Sent from my TECNO CC7 using JamiiForums mobile app
View attachment 1652967
 
Wakuu mimi ni fundi rangi naombeni madili ya kazi
0718884670
 
Mimi ni fundi wa rangi za majumbani kwa maelezo zaidi wasiliana nami kwa 0718884670
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…