Habar wakuu.....
Ninaomba ndugu zangu mafundi wa ujenzi wa nyumba muniseidie tathmini kidogo ya vitu ili niweze kujenga msingi wa nyumba yangu
Targets ni vyumba 3 kimoja masters , viwili kawaida
Sebule, jiko , ki dinning , na choo cha jumuiya
Naomba kujuzwa kwa targets hizo nahitajika kua na nondo kama ngapi
Saruji mifuko mingap
Mchanga
Na kokoto....
Mnakaribishwa wakuu.....nitashukuru sna