Mafundi wa mbao wanahitajika haraka

Fundi Seremala wa kibongo na CV wapi na wapi.
Wapo wengi tu tena wakali sana kwenye kazi hizo na hata wakandarasi wenye tender kubwa huwa wanawatumia.
Ila ukiuliza ni Darasa la Saba na wengine ukiwauliza CV anaweza kukuuliza ndio chakula gani hicho.

We sema tu waje kisha nyie mtachuja,sijui Interview yake ipo
 
Heading Inasema Fundi Mbao...Nikajua Wale Wa Kuchana Mbao Porini...Hujasema Uko Mkoa Gani,unawataka Kwa Kazi Gani..N.K Ok Mimi Nina Jamaa Wangu Ni Profesheno Kwenye Mambo Ya Kupaua Nyumba,kuweka Gyptsum,marumaru.N.K Huyu Hapa 0713746265.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…