Wadau wa ujenzi njooni hapa tupeane uzoefu katika ujenzi, mfano namna ya kuepuka kreki kwenye nyumba, wapi wanakouza vifaa vya ujenzi kwa bei nafuu, na kadhalika.
Kwa mahitaji ya vifaa vya ujenzi aina zote kama vile marine boards, plywood, silingboard, steel bars, steel doors, gypsum boards na safety gears zote kwa bei ya jumla na nafuu